Kuna idadi kubwa sana ya watu wanao sumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya ya kinywa. Hakuna ugonjwa unao aibisha na kutweza kama kutokwa na harufu mbaya ya kinywa.
NINI CHANZO CHA HARUFU MBAYA YA KINYWA?
1. Harufu mbaya ya kinywa husababishwa na aina ya bacteria anayeishi kwenye tishu ndogo kwenye sehemu ya mgongo wa kinywa ( Hususani kwenye sehemu ya nyuma ya ulimi ). Bacteria huyu ndiye husababisha harufu mbaya ya kinywa. Bacteria huyu anapozaliana na kukomaa hutoa gesi inayoitwa "Putrid sulfur gas" ambayo ndio husababisha harufu mbaya ya kinywa. Kama mtu anayesumbuliwa na tatizo hili hatopata tiba sahihi anaweza kuendelea kuteswa na tatizo hili kwa sababu hakuna aina namna yoyote ya upigaji mswaki ama uoshaji kinywa inayoweza kumfikia bakteria huyu hata kama uoshaji huo utafanyika kila siku na utachukua muda mrefu kiasi gani.
2. Chanzo kingine kikuu cha harufu mbaya ya kinywa utumiaji wa kiasi kikubwa cha chakula ambacho hubaki tumboni hasahasa nyama. Chakula chocote kitakachokaa ndani ya mfumo wa usagaji wa chakula kwa muda mrefu kitaanza kuoza, na siku zote nyama inapooza huanza kutoa harufu mbaya ( kunuka ). Kwa hiyo hiki nacho ni chanzo kikubwa cha harufu mbaya ya kinywa.
KAMA TATIZO LINAANZIA MDOMONI : Mgonjwa anatakiwa kutumia dawa maalumu ya kusukutua kinywa kwa muda maalumu ambayo itasaidia kuwaua bakteria wanao sababisha harufu mbaya ya kinywa pamoja na kufuata diet maalumu ambayo itaepusha kuzaliana kwa bacteria wapya ndani ya kinywa cha muhusika. Neema Herbalist tunayo dawa maalumu ya asili ambayo itamsaidia mgonjwa anayesumbuliwa na tatizo hili kuondokana na tatizo hilo.. Ni dawa isiyo kuwa na side effect yoyote kwa mtumiaji kwa sababu ni dawa ya kienyeji.
Kama tatizo linaanzia tumboni mgonjwa atatakiwa kutumia dawa maalumu ambayo itaenda kuondoa uchafu wote uliooza na uliogandamana tumboni ambao ndio chanzo cha kutokwa na harufu mbaya . ya kinywa .. Baada ya kutumia dozi hii, mgonjwa ataweza kuondoa uchafu wote uliogandamana tumboni kwa njia ya haja kubwa. Pamoja na dozi hii mgonjwa atapewa maelekezo ya vyakula na juisi maalumu za kutumia pamoja na dawa maalumu ya kutumia kinywani wakati wa kupiga mswaki..
Kwa wewe ambaye hauna tatizo hili, zingatia mambo yafuatayo:
1. KUWA MAKINI SANA NA AINA YA VYAKULA UNAVYO TUMIA
... Vyakula unavyo paswa kuepuka kuvitumia ni pamoja na vitunguu, vitunguu swaumu, unywaji wa pombe, vyakula vyenye protini nyingi kama vile samaki, Epuka matumizi ya sukari, kahawa na baadhi ya aina za dawa za mswaki.
3. EPUKA MATUMIZI YA POMBE. Pombe hukausha kinywa. Kinywa kikavu huchochea mazalio ya bakteria wanao sababisha harufu mbaya ya kinywa.
4. USIVUTE . SIGARA: Kama kweli una nia kumaliza tatizo la kutokwa na harufu mbaya ya kinywa unapaswa kuachana na uvutaji wa sigara. Uvutaji wa sigara sio tu kwamba uta kusababishia harufu mbaya ya kinywa bali pia utakausha kinywa chako na hivyo kusababisha mazaliano ya bakteria wasababishao harufu mbaya ya kinywa.
5.USINYWE KAHAWA: Kahawa ina acid ambayo husababisha kuzaliwa kwa bacteria wanao sababisha harufu mbaya ya kinywa.
6. PIGA MSWAKI MARA KWA MARA : Piga mswaki walau mara mbili kwa siku. Kama una nafasi piga mswaki kila baada ya chakula.
7. HAKIKISHA UNACHEKI AFYA YA KINYWA CHAKO KWA DAKTARI WAKO WA MENO MARA KWA MARA.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi
NINI CHANZO CHA HARUFU MBAYA YA KINYWA?
1. Harufu mbaya ya kinywa husababishwa na aina ya bacteria anayeishi kwenye tishu ndogo kwenye sehemu ya mgongo wa kinywa ( Hususani kwenye sehemu ya nyuma ya ulimi ). Bacteria huyu ndiye husababisha harufu mbaya ya kinywa. Bacteria huyu anapozaliana na kukomaa hutoa gesi inayoitwa "Putrid sulfur gas" ambayo ndio husababisha harufu mbaya ya kinywa. Kama mtu anayesumbuliwa na tatizo hili hatopata tiba sahihi anaweza kuendelea kuteswa na tatizo hili kwa sababu hakuna aina namna yoyote ya upigaji mswaki ama uoshaji kinywa inayoweza kumfikia bakteria huyu hata kama uoshaji huo utafanyika kila siku na utachukua muda mrefu kiasi gani.
2. Chanzo kingine kikuu cha harufu mbaya ya kinywa utumiaji wa kiasi kikubwa cha chakula ambacho hubaki tumboni hasahasa nyama. Chakula chocote kitakachokaa ndani ya mfumo wa usagaji wa chakula kwa muda mrefu kitaanza kuoza, na siku zote nyama inapooza huanza kutoa harufu mbaya ( kunuka ). Kwa hiyo hiki nacho ni chanzo kikubwa cha harufu mbaya ya kinywa.
NINI TIBA YA TATIZO.
Tiba ya tatizo hili itategemeana na chanzo cha tatizo kwa muhusika. Kama tatizo linaanzia mdomoni kuna tiba yake na kama tatizo linaanzia tumboni basi kuna tiba yake pia.KAMA TATIZO LINAANZIA MDOMONI : Mgonjwa anatakiwa kutumia dawa maalumu ya kusukutua kinywa kwa muda maalumu ambayo itasaidia kuwaua bakteria wanao sababisha harufu mbaya ya kinywa pamoja na kufuata diet maalumu ambayo itaepusha kuzaliana kwa bacteria wapya ndani ya kinywa cha muhusika. Neema Herbalist tunayo dawa maalumu ya asili ambayo itamsaidia mgonjwa anayesumbuliwa na tatizo hili kuondokana na tatizo hilo.. Ni dawa isiyo kuwa na side effect yoyote kwa mtumiaji kwa sababu ni dawa ya kienyeji.
KAMA TATIZO LINAANZIA TUMBONI.
Kama tatizo linaanzia tumboni mgonjwa atatakiwa kutumia dawa maalumu ambayo itaenda kuondoa uchafu wote uliooza na uliogandamana tumboni ambao ndio chanzo cha kutokwa na harufu mbaya . ya kinywa .. Baada ya kutumia dozi hii, mgonjwa ataweza kuondoa uchafu wote uliogandamana tumboni kwa njia ya haja kubwa. Pamoja na dozi hii mgonjwa atapewa maelekezo ya vyakula na juisi maalumu za kutumia pamoja na dawa maalumu ya kutumia kinywani wakati wa kupiga mswaki..
MAMBO YA KUZINGATIA.
Kwa wewe ambaye hauna tatizo hili, zingatia mambo yafuatayo:
1. KUWA MAKINI SANA NA AINA YA VYAKULA UNAVYO TUMIA
... Vyakula unavyo paswa kuepuka kuvitumia ni pamoja na vitunguu, vitunguu swaumu, unywaji wa pombe, vyakula vyenye protini nyingi kama vile samaki, Epuka matumizi ya sukari, kahawa na baadhi ya aina za dawa za mswaki.
2.KUNYWA MAJI MENGI :
Hakikisha unakunywa maji mengi kila siku ( Angalau Lita Tano Kwa Siku ). Kufanya hivyo kutakusaidia kuosha chembechembe za vyakula ambazo zimebaki mdomoni mwako. Vilevile kutasaidia kuepusha mdomo mkavu.3. EPUKA MATUMIZI YA POMBE. Pombe hukausha kinywa. Kinywa kikavu huchochea mazalio ya bakteria wanao sababisha harufu mbaya ya kinywa.
4. USIVUTE . SIGARA: Kama kweli una nia kumaliza tatizo la kutokwa na harufu mbaya ya kinywa unapaswa kuachana na uvutaji wa sigara. Uvutaji wa sigara sio tu kwamba uta kusababishia harufu mbaya ya kinywa bali pia utakausha kinywa chako na hivyo kusababisha mazaliano ya bakteria wasababishao harufu mbaya ya kinywa.
5.USINYWE KAHAWA: Kahawa ina acid ambayo husababisha kuzaliwa kwa bacteria wanao sababisha harufu mbaya ya kinywa.
6. PIGA MSWAKI MARA KWA MARA : Piga mswaki walau mara mbili kwa siku. Kama una nafasi piga mswaki kila baada ya chakula.
7. HAKIKISHA UNACHEKI AFYA YA KINYWA CHAKO KWA DAKTARI WAKO WA MENO MARA KWA MARA.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi
ushauri wa bureeee
ReplyDeletegharama ni sh. ngapi na sisi tulio mikoani tutapataje huduma?
ReplyDeleteContact zenu pls
ReplyDelete