Wanawake wengi hawafurahii ndoa zao kwa sababu hawana askhi ya kufanya tendo la ndoa. Wengine wamepatwa na tatizo hilo ukubwani, wengine wapo na tatizo hilo tanfu utotoni.Halii hii imewatesa wanawake wengi na kuwafanya wengine kufikia hata kujaribu kujamiiana kwa njia zisizo stahili ili kupata " sexual satisfaction ". Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic tunayo dawa safi na ya asili itakayo maliza tatizo lako. Wasiliana nasi kwa simu namba 0767010756 au 0787010756 au fika ofisini kwetu Changanyikeni karibu na Chuo Cha Takwimu.
Pilipili Mbuzi Punyeto ( kwa wanaume ) ni kitendo cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe kileleni kwa kujichua uume hadi kumwaga mbegu za kiume. Uchunguzi unaonyesha katika watu wa jinsia ya kiume kumi wenye umri wa kuanzia miaka 16 hadi 45, angalau wanne kati yao wamewahi kupiga punyeto katika kipindi fulani cha maisha yao, na wawili kati yao wanajihusisha na upigaji punyeto. Uzoefu unaonyesha, asilimia kubwa ya wanaume wanao piga punyeto huanza katika umri wa kubalehe ( miaka 14-16 ), wengine huachana na tabia hiyo mara baada ya kupata wapenzi wa kike ama kuoa na wengine huendelea na tabia hiyo hata baada ya kuoa . Zipo sababu mbalimbali zinazo wapelekea wanaume kupiga punyeto, ila kubwa kati ya hizo ni pamoja na kutokuwa na wapenzi, kutokuwa na wapenzi wanao kidhi vigezo vyao, kuwa katika mazingira yasiyokuwa na wanawake ( mfano katika shule za sekonda
Comments
Post a Comment