Skip to main content

CHANZO NA TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA WANAUME

Wanaume    wengi  wanasumbuliwa  na  tatizo  la  uungufu  wa  nguvu  za  kiume, hali  inayo  afanya  washindwe   kufurahia  tendo  la  ndoa  na  wenzi  wao  wa  kike.

Hizi  ni  baadhi  ya  sababu  zinazo  sababisha  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  kwa  wanaume.

1. Msongo  wa  akili.
2. Ulevi  kupita  kiasi.
3.Kupooza  kwa  mwili
4. Presha  na  ugonjwa  wa  kisukari.
5.Wasiwasi  wa  kutekeleza   tendo  la  ndoa
6. Uoga  wa  kufanya  tendo  la  ndoa.
7.Uzoefu  wa  kukatisha  tamaa  wa  siku  za  nyumaa
8. Mazingira  yasiyoridhisha  wakati  wa  tendo  la  ndoa.

TIBA  (  HUWEZA  KUWASAIDIA  HATA  WANAWAKE  )

1.  MLONGE/ NAZI.
Chukua  nusu  kikombe  cha  maua  ya   mlonge, ongeza  kijiko  kimoja  cha  chai   cha  vumbi  la  machicha  ya  nazi.  Chemsha  katika  nusu   lita  ya  maji  kwa  muda  wa   dakika  15, kutengeneza  aina  ya  supu. Chuja  na  baada  ya  kupoa  kila  jioni  kunywa  nusu  glasi, saa  moja  kabla  ya  kwenda  kulala. Endelea  na  tiba  hii  kwa  muda  wa  mwezi  mmoja.

2. KITUNGUU  MAJI/ASALI
Ponda  ponda  kitunguu  maji  cheupe cha  ukubwa  wa  kati  (  gramu 50 ).  Kaanga  ndani  ya  mafuta  ya  samli, baada  ya   kupoa  changanya  na  kijiko  kimoja  cha  mezani  cha  asali. Kula  nusu  saa  kabla  ya  kwenda  kulala. Endelea  na  tiba  kwa  muda  wa  mwezi  mmoja.

3. ZABIBU  NYEUSI  ( BLACK   RAISINS )
Chukua  zabibu  kavu  nyeusi. Zioshe  vizuri  na  maji  ya  moto. Kula  gramu  40  za  zabibu  ikifuatiwa  na   glasi  moja  ya  maziwa. Fanya  hivyo mara  tatu  kwa  siku. Endelea  na  tiba  kwa  muda  wa  mwezi  mmoja.

4. TANGAWIZI/ ASALI
Chukua  nusu  kijiko  cha  chai  cha  juisi   (  au  unga  )  ya  tangawizi. Changanya  vizuri  na  kijiko  kimoja   cha  mezani  cha  asali. Tumia  pamoja  na  nusu  yai  lililochemshwa  kila  jioni  kabla  ya  kwenda   kulala. Endelea    na  tiba  kwa  muda  wa  mwezi  mmoja.

5.  KAROTI
Saga au  pondaponda    gramu  200  za  karoti.   Ongeza  nusu ya  yai  lililochemshwa  na  kijiko  kimoja  cha  mezani  cha  asali. Changanya   kwa   pamoja. Kula  nusu saa  kabla  kwenda   kulala . Endelea   na  tiba  kwa  muda  wa  mwezi  mmoja.

6.  BAMIA/  ASPARAGASI
Chukua   gramu  kumi  za unga  wa  mizizi   ya  bamia. Changanya   na  gramu   15 za  unga  wa  mizizi  ya  asparagasi . Chemsha  katika    glasi  moja  ya  maziwa  kwa  muda  wa  dakika  tano. Kunywa  asubuhi  na  jioni  saa  moja  kabla  ya  kwenda  kulala. Endelea  na  tiba  hii  kwa  mwezi  mmoja.

Hii  ni  tiba  rahisi  ya  vyakula  kwa  wale  ambao  wana  tatizo  la  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  ama  kukosa  hamu  ya  kufanya  tendo  la  ndoa  ( kwa  wanawake  ) na  hawana  uwezo  wa  kununua  dawa  inayo  tibu  tatizo  la  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.   Kwa   maelezo  zaidi  ama  kwa  tiba  kamili  ya  tatizo  la  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  kwa  wanaume  ama  kukosa  ashkhi   ya  kufanya  tendo  la   ndoa  kwa  wanawake  wasiliana  nasi   kwa  simu  namba   0767010756  au   0787010756  au  fika   katika  ofisi  zetu  zilizopo   eneo  la  Changanyikeni  karibu  na  Chuo  cha  Takwimu.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...