Skip to main content

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME




Neema  Herbalist    &  Nutrtional  Foods  Clinic


Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani.




Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ?

Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu


HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME
Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo :

Hatua  ya  kwanza, ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari.
Na  hatua  ya  pili  ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION


JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA.
1. HATUA   YA  KWANZA:
DAMU  KUTIRIRIKA  KWA  KASI KUINGIA  NDANI  YA  MISHIPA  YA  UUME  NA  KUUFANYA  UUME  KUSIMAMA  NA  KUWA  MGUMU.
Unapopata  wazo  la  kufanya  tendo  la  ndoa, mishipa  ya  fahamu iliyopo  kwenye  ubongo,  hupeleka  ishara  kwenye  mishipa  ya  uti  wa  mgongo, ambayo  nayo  hupeleka  taarifa  hadi  kwenye  mishipa  ya  uume. Taarifa  inapofika  kwenye  mishipa  ya  uume  huifanya  mishipa hiyo  ku-relax  na  hatimaye   kufanya  mishipa  ya  ateri  kufunguka  na  kutanuka. Mishipa  ya  ateri  inapo  tanuka  na  kufunguka, huruhusu  damu  kuingia  kwa  kasi  ndani  ya  mishipa  ya  uume  na  hivyo  kuufanya  huume  kusimama.
Ni  muhimu  kujua  kuwa, mishipa  ya  uume  inapo relax  hupelekea  kuisukuma na  hatimaye  kuiziba  mishipa  ya  vena  iliyo  karibu  na  mishipa  ya  uume  na  hivyo  kuiondolea  uwezo  wa  kunyonya  damu  iliyomo  ndani  ya  mishipa  ya  uume  na  kuipeleka  sehemu  nyingine  za  mwili.
N.B: Kazi  kubwa  ya  mishipa  ya  vena  ni  kunyonya  damu  iliyomo  ndani  ya  mishipa  ya  uume  na  kuipeleka  katika  sehemu  nyingine  za  mwili.  Au  kwa  lugha  nyingine  unaweza  kusema, kazi  kubwa  ya  mishipa  ya  vena  ni  kuhakikisha  hakuna  damu  kwenye  mishipa  ya  uume.


2. HATUA  YA  PILI  :

DAMU  KUENDELEA  KUHIFADHIWA  KATIKA  UUME  WAKATI  UUME  UKIWA  UMESIMAMA  NA  HIVYO  KUUFANYA  UUME  UENDELEE  KUDUMU  KATIKA  TENDO LA NDOA   KWA  MUDA  MREFU.
Uume  ulio  simama, ili  uendelee  kusimama, ni  lazima  mishipa  ya  vena  isiwe  na  uwezo   wa  kunyonya  damu  kutoka  katika  mishipa  ya  uume  na  kuipeleka  katika  sehemu  nyinginezo  za  mwili. .
Mishipa  ya  Vena  ndio  inayo  husika  na  kunyonya  damu  kutoka  kwenye  mishipa  ya  uume na  kupeleka  sehemu  nyingine  za  mwili.  Ili  uume  uendelee  kusimama  lazima  mishipa  hii  ya  vena  iwe imezibwa. Ili  iweze  kuzibwa   ni  lazima  misuli  laini  ya  kwenye  uume  iwe - ime  relax na  hivyo  kuifanya  mishipa  ya  vena  kushindwa  ku  nyonya  damu  kutoka  kwenye  uume.
Endapo  mishipa  ya  vena  itazibuka , basi  itanyonya  na  kutoa  damu yote  kutoka  kwenye  mishipa  ya  uume uliosimama  na  kuipeleka  sehemu  nyinginezo  za  mwili  na  hatimaye  uume  huo ulio simama  na  utasinyaa  mara  moja.


JINSI  UUME  UNAVYO  SIMAMA  NA  KUSISIMKA.
Tumeisha  zifahamu  hatua  mbili  muhimu  katika  kusimama  kwa  uume
Jinsi  Uume  unavyo  simama: Katika  uume  kuna chemba  yenye  mishipa  laini  sana, ambayo  ndio  huufanya  uume  kusimama.
Mishipa  hii  ipo kama  sponji  hivyo  huweza  kunyauka  na  kutanuka.
Damu  inapoingia  ndani  ya  mishipa  hii  huufanya  uume  kusimama  na  kuwa  mgumu  kama  msumari.
Damu  inapoendelea  kuhifadhiwa  ndani  ya  mishipa  hii  wakati  wa  tendo  la  ndoa, huufanya  uume  uendelee  kusimama.
Mwanaume  unapo  patwa  na  wazo la  kufanya  tendo  la  ndoa, mishipa  ya  fahamu  iliyo  kwenye  ubongo  hupeleka  ishara  kwenye  uti  wa mgongo, ambao  nao  hufikisha   taarifa  kwenye  mishipa  ya  uume.
Taarifa  ikisha  fika  kwenye  mishipa  ya  uume, huifanya  mishipa  ya  uume  ku-relax  na  mishipa  ya  uume  inapo  relax, hufanya  mambo  makuu  mawili;
i.                   Kwanza  hufanya  mishipa  ya  ateri  kufunguka na  hivyo  damu  kutiririka  kwa  kasi  sana  kuingia  kwenye  mishipa  ya  uume
( Mishipa  ya  ateri  ndio  inayo  tumika  kama  njia  ya  kuingiza  damu  kwenye  uume. Bila  mishipa  ya  ateri  imara  na  yenye  afya, damu  haiwezi kuingia  kwenye  mishipa  ya  uume, na  damu  isipoweza kuingia  kwenye  mishipa  ya  uume, basi  uume  hauwezi  kusimama )

ii.                 Pili huibana  mishipa  ya  vena  na  hivyo  kuizuia    kunyonya  damu  kutoka  kwenye  uume  na  kuipeleka  kwenye  sehemu nyingine  za  mwili. Matokeo  yake  kuufanya  uume  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa. 
Kumbuka ,kazi  kubwa  ya  mishipa  ya  neva  iliyo  karibu  na  mishipa ya  uume, ni kunyonya  damu kutoka  ndani  ya  mishipa  ya  uume  na  kuipeleka  kwenye  sehemu  nyingine  za  mwili. Kwa  lugha  nyingine, kazi  kubwa  ya  mishipa  ya  vena  ni  kuhakikisha  hakuna  damu  kwenye  mishipa  ya  uume ulio simama.

Kadri  damu  inavyo  zidi  kuingia  ndani  ya mishipa  ya  uume, ndivyo  uume  unavyo  zidi  kuwa  mgumu  na  kukakamaa.
Na  kadri  damu  inavyo  hifadhiwa  ndani  ya  mishipa  ya  uume, ndivyo  uume  unavyo endelea  kusimama  wakati  wa  tendo  la  ndoa kwa  muda  mrefu.

Baada  ya  kumaliza  kufanya  tendo  la  ndoa,mishipa  ya  uume inarudi  katika  hali  yake  ya  kawaida (inanyauka ), ikisha  nyauka, mishipa  ya  ateri  inanyauka  pia, vena  zinafunguka  na  kunyonya  damu  katika  mishipa  ya  uume  na  kuirejesha  katika  sehemu nyinginezo  za  mwili  na  hatimaye  uume  kurudi  katika  hali  ya  kawaida  ( Flaccid ).
Hali  hii  itaendelea  kujirudia  kwa  kadri  utakavyo  kuwa  ukiendelea  kufanya  tendo  la  ndoa.

Mambo  Muhimu  Katika  Kuufanya Uume  Usimame na  Kuendelea  kudumu  katika  kusimama  kwa  muda  mrefu wakati  wa  tendo  la  ndoa.
Ili  uume  uweze  kusimama  imara  kama  msumari na  uendelee  kusimama  imara  na  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo la  ndoa, ni  lazima  mambo  yafuatayo yawepo.

1.          Mishipa ya   uume iliyo  imara  na  yenye  afya  njema.
2.          Mfumo   mzuri  wa damu  katika   mwili  mzima.
3.          Mtiririko  imara  wa  damu kuingia  na  kutoka  ndani  ya  mishipa  ya  uume.
4.          Ushirikiano  wenye  afya  kati  ya  mishipa  ya  fahamu  ya  kwenye  ubongo  (nerves), mishipa  ya  kwenye  uti  wa  mgongo  pamoja  na  mishipa  ya  kwenye  uume.

Ili  mwanaume  aweze  kuwa  imara  katika  tendo  la  ndoa, ni  lazima  mambo  manne  niliyo yataja  hapo  juu  yawe  sawa  sawa  bila  hitilafu  yoyote. Kinyume  chake, mwanaume  hawezi  kuwa  na  nguvu  za  kiume.


MOYO



MAMBO   YANAYO SABABISHA   UKOSEFU/UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.

Tumeshajua   nguvu za  kiume  ni  nini, jinsi  uume  unavyo  simama, hatua  za  kusimama  kwa  uume, pamoja  na  mambo  yanayo  fanya  uume  uweze  kusimama  na  kuwa  na  uwezo  wa  kuendelea  kusimama  wakati  wa  tendo  la  ndoa.
Ni  vyema  tukajua  mambo  yanayo  sababisha  kushindwa  kusimama  kwa  uume, mambo  yanayo  sababisha  uume  ushindwe kuendelea  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa   pamoja  na  mambo  yanayo  fanya  mtu  ashindwe  kurudia  tendo  la  ndoa.

Yafuatayo  ni  mambo  yanayo  sababisha  ukosefu wa  nguvu  za  kiume.



MISHIPA  YA  FAHAMU  NA  UTI  WA  MGONGO

1.    MAGONJWA  YANAYO  SHAMBULIA  MFUMO  WA  DAMU  PAMOJA  NA  MISHIPA  YA  DAMU.

Damu  ndio  nishati  inayo wezesha  kusimama  kwa  uume  na kuufanya  kuwa  mgumu na  imara  kama  msumari.
Damu  ndio  nishati  inayo weza   kuufanya  uume uendelee kusimama  wakati  wa  tendo  la  ndoa.
Damu  ndio  nishati  inayo  upa  uume  uimara  na  uwezo  wa  kurudia  tendo  la  ndoa  zaidi  ya  mara  moja.
Hivyo  basi  ili  uume  uweze  kuwa  imara na  wenye  nguvu, pamoja  na  kuwa  na  uwezo  wa  kumudu  na  kustahimili   tendo  la  ndoa  wakati  wowote , basi  ni  lazima   mwanaume  awe  na mfumo  imara  wa  damu  utakao  ruhusu  kutiririka  kwa  damu  kwenda  katika  sehemu mbalimbali  za  mwili  ikiwamo  uume. 

Ili  mfumo  uweze  kuwa  imara  ni  lazima  mhusika  awe  na  damu  ya  kutosha, na  pili  awe  na  mishipa  ya  damu  yenye  afya.
Katika  mwili  wa  mwanadamu,kuna  mishipa  inayo  tumika  kusafirisha  damu  kutoka  katika  sehemu moja  ya  mwili kwenda  katika  sehemu  nyingine  ya  mwili  ikiwemo  uume. Mishipa  hiyo  ni  kama  vile  vena (veins), atery ( ateri) na  capillary  ( kapilari )

Mishipa  hii  ya  damu  inapaswa  kuwa  imara  na  yenye  afya  njema  wakati  wote.   Mishipa  hii  ikipatwa  na  hitilifu, basi  itazuia  kusafirishwa  kwa  damu  katika  sehemu  mbalimbali za  mwili  wa  mwanadamu  na  hatimaye  kufanya  suala  la  kuwa  na  nguvu  za  kiume  kwa  mhusika  kuwa  ugumu  kwa  sababu   ya  kushindwa  kupeleka  damu  kwenye  mishipa  ya  uume.

Magonjwa  kwenye  mishipa  ya  damu  huzuia   kutirika  kwa  damu kwenye  ogani  muhimu   kama  vile  moyo, ubongo na  figo.

VIASHIRIA  VYA  MAGONJWA  KWENYE  MISHIPA  YA  DAMU.
Utajuaje  kwamba  una  magonjwa  kwenye  mishipa  yako  ya  damu ?
Ukiwa  una  matatizo  yafuatayo ya  kiafya, ni  ishara  kwamba, una  magonjwa  kwenye  mishipa  yako  ya  damu:
1.  Kolestrol ( Ama  lehemu  kwenye  damu )
Kolestrol  nyingi  kwenye  damu, huzuia  kutiririka  kwa  damu. Kolestrol  ikizidi  kwenye  damu,  hupelekea  kuziba   mishipa  ya  ateri  ambayo  kazi  yake  ni  kupeleka  damu  kwenye  uume. Matokeo  yake  ni  mhusika  kutokuwa  na  uwezo  wa  kusimamisha  uume  wake barabara  kwa  sababu uume  hauwezi  kusimama  bila  damu  kuingia  ndani  ya  mishipa  ya  uume.  Hivyo  basi pamoja  na  dawa  ya  nguvu  za  kiume, yakupasa  kutibu  kolestrol. Unaweza  kuondoa  kolestrol  kwenye  damu  kwa  kutumia  dawa  mbali  za  asili  kama  vile mdalasini,uwatu, habbat sodah  etc.  Jinsi  ya  kujitibu  kolestrol  kwa  kutumia dawa asilia  tafadhali  tembelea

2.      Shinikizo  Kubwa  la  Damu
Shinikizo  Kuu la  Damu husababisha  mishipa  ya  ateri  ambayo  hutiririsha  damu  iingiayo  kwenye  uume  kuziba  na  kushindwa kutanuka  kwa  kiwango  inachotakiwa  kutanuka.
Pia  huifanya  mishipa  laini  katika  uume   kushindwa  ku-relax  na  hivyo  kushindwa  kuizuia  mishipa  ya  vena  ya  kunyonya  damu  kutoka  kwenye  mishipa  ya  uume  na  kuipeleka  kwenye  maeneo  mengineyo  ya  mwilini.
Matokeo  yake  kunakuwa hakuna  kiasi  cha  kutosha  cha  damu  iingiayo  kwenye  uume  na  hivyo  kufanya  uume  ushindwe  kusimama.
Vile  vile  hata  kiasi  kidogo  cha  damu  kinacho  ingia  kwenye  uume, kinashindwa  kuendelea  kuhifadhiwa  ndani  ya  uume  wakati uume  ukiwa  umesimama, na  matokeo yake  ni  uume  kusinyaa  ndani  ya  kipindi kifupi  sana  tangu  usimame.
Pamoja  na kutumia  dawa  ya  nguvu  za  kiume, unapaswa   pia  kutumia  dawa  asilia  kujitibu  tatizo  la  shinikizo  kuu  la  damu.
Kufahamu  jinsi  ya  kujitibu  tatizo  la  shinikizo  la  damu  kwa  njia  ya  asilia, tembelea :

3.  Ugonjwa  wa  kisukari :
 Ugonjwa  wa  kisukari  ni  miongoni  mwa  vyanzo  vikuu  vya  tatizo  la  ukosefu wa  nguvu  za  kiume.  Kusimama  kwa  uume  kunategemeana  na  kutiririka  kwa  damu  mwilini. Kisukari  huathiri  mishipa  ya  damu pamoja  na  usambazaji  wa  damu  kwenye  ogani  muhimu  mwilini  kama  vile  moyo, ubongo, figo  na  uume.
Kiukweli, mwanaume  mwenye  kisukari  yupo  katika  risk  kubwa  ya  kupatwa  na  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume,m tena  katika  kiwango  kikubwa  sana.
Unashauriwa pamoja  na kutumia  dawa  ya  nguvu  za  kiume, tumia  pamoja  na  dawa  mbalimbali  za  asili  kwa  ajili  ya  kubalance  sukari  yako mwilini. Zipo  dawa  mbalimbali  za  asili  zinazo  saidia  kubalance  kiwango  cha  sukari  mwilini. Dwa  hizo  ni  pamoja na mdalasini, unga  wa  uwatu, mbegu  za  uwatu, manjano, majani  ya  manjano,mbegu  za  katani, nakadhalika. Namna  ya  kutumia  dawa  hizo  kujitibu  tatizo  la  sukari, tafadhali  tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html



4. Magonjwa  ya  figo

Tatizo  la  ugonjwa  wa  figo  huathiri  vitu vingi  ambavyo  ni  muhimu  sana  katika  kuufanya  uume  uweze  kusimama  na  kuendelea  kudumu  katika  kusimama.

Tatizo  la  figo, huathiri  homoni, huathiri kutiririka   kwa  damu  kwenda  kwenye  mishipa  ya  uume. Huathiri  mfumo  wa mishipa  ya  neva  pamoja  na  nishati  ya  mwili mzima.
Pamoja  na  dawa  ya  kutibu  tatizo  la  nguvu  za  kiume, unapaswa  pia, kutibu  tatizo  la  figo. Kufahamu  jinsi  ya  kujitibu  magonjwa  mbalimbali  ya  figo  kwa  kutumia  dawa  mbalimbali  asilia, tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html


5.        Ugonjwa  wa  moyo

Moyo  ndio  supplier  mkubwa  wa  damu  katika  sehemu  mbalimbali  za  mwili.  Ugonjwa  wa  moyo  hupunguza  uwezo  wa  moyo  kusambaza  damu  kwenye  mishipa  mbalimbali  ya  damu  na  hivyo  kuathiri  utendaji  kazi  wa  mishipa ya  damu  kama  vile  ateri  na  vena. Matokeo  yake  ni  mishipa  hiyo  kushindwa  kupeleka  damu  ya  kutosha  katika  uume  pamoja  na  kushindwa  kuifanya  mishipa  ya  uume  kurelax na  matokeo  yake,. Ukosefu  wa nguvu  za  kiume. Hivyo  basi, pamoja  na  dawa  ya  nguvu  za  kiume, unapaswa  pia   kutibu  tatizo  la  moyo. Kufahamu  jinsi  unavyo  weza  kutibu  ugonjwa  wa  moyo  kwa  dawa  asilia, tembelea :


6.  Kupwaya  kwa  mishipa  ya  vena.
Kazi  kubwa  ya  mishipa  ya  vena  kwenye  uume   kunyonya  damu  iliyomo  ndani  ya  mishipa  ya  uume  na  kuipeleka  katika  sehemu  nyingine  za  mwili.  Mishipa  ya  vena  iliyopo  karibu  na  uume  kazi  yake  kubwa  ni  kuhakikisha  hakuna  damu  yoyote  kwenye  mishipa  ya  uume. ( KUMBUKA  KUWA  DAMU  NDIO  HUFANYA  UUMU  USIMAME, HIVYO  CHOCHOTE  KILE  KITAKACHO  FANYA  DAMU  ISIKAE  NDANI  YA  MISHIPA  YA  UUME , KITAFANYA  UUME  USINYAE  )
Ili  uume  uendelee  kusimama  ni  lazima, mishipa  ya  vena  isiwe  na  uwezo  wa  kunyonya  damu  kutoka  kwenye  mishipa  ya  uume  kupeleka  nje  ya  mishipa  ya  uume.
Na  ili  mishipa  ya  vena  isiwe  na  uwezo  wa    kunyonya  damu  kutoka  kwenye   mishipa  ya  uume  ulio  simama  na  kuipeleka  kwenye  sehemu  nyingine  za  mwili,  ni  lazima  mishipa  ya  uume  iwe  imara  na  thabiti  isiyo  na  hitilafu  yoyote  ile.

Mishipa  ya  vena  ikipwaya, mwanaume  hutokuwa  na  uwezo  wa  kusimamisha  uume  wako, na  ikitokea  umefanikiwa  kuusimamisha  basi  utasimama  ukiwa  legelege  sana  na  utasinyaa  ndani  ya  muda  mfupi  sana, kwa  sababu  damu  iliyo  ingia  ndani  ya  uume  wako  na  kuufanya  usimame, itanyonywa  ndani  ya  muda  mfupi  sana  na  kutolewa  nje  ya  mishipa  ya  uume  na  hivyo  kuufanya  uume  wako  usimame.
 Tatizo  la  kupwaya  kwa  mishipa  ya  vena  linasababishwa  na  kupiga  punyeto  kwa  muda  mrefu  pamoja  na  ugonjwa  wa  kisukari.

KUPIGA  PUNYETO  KWA  MUDA  MREFU:  Kupiga  punyeto  kwa  muda  mrefu  ni  moja  kati  ya  vyanzo  vikuu  vya  tatizo  la  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.  Asilimia  kubwa  ya  vijana  wenye  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume, linasababishwa  na  upigaji  wa  punyeto  kwa  muda  mrefu.

JINSI  PUNYETO  INAVYO  SABABISHA  UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.
Unapopiga  punyeto  unakuwa  unaiminya  mishipa  ya  uume   ambayo  ndio  inaufanya  uume  usimame.
Matokeo  yake  unaifanya  mishipa  hiyo  ilegee na  kutokuwa  na  uwezo  wa  kusimama  tena.
Mishipa  ya  uume  iliyo  legea  kutokana  na  upigaji  punyeto, huleta  madhara  yafuatayo  :
i.           Huondoa  uwezo  wa  mishipa  ya  uume  kurelax.

( Unapopata  wazo  la  kufanya  tendo  la  ndoa, mishipa  ya  uume  ina relax  , mishipa  iki  relax  husababisha  mishipa  ya  ateri  kupanuka  na  kuruhusu  damu  kingie  ndani  ya  mishipa  ya  uume  na  hatimaye  kuufanya  uume  usimame  na  kuwa  mgumu)

ii.         Mishipa   ya  kiume  ikishindwa  ku relax  husababisha  mishipa  ya  ateri  kuziba
iii.       Mishipa  ya  ateri  ikiziba, damu  haiwezi  kutiririka  kuingia  kwenye  mishipa  ya  uume, na  hata  ikitokea  damu  imeingia  ndani  ya  mishipa  ya  uume  basi  huingia  kiasi  kidogo sana   tena  kwa  presha  ndogo  sana  hivyo  basi  hata  kama  uume  utasimama   basi  utasimama  ukiwa  legelege  sana
iv.       Mishipa  ya  uume  ikishindwa  kurelax  basi  haitakuwa  na  uwezo  wa  kuipush  na  kuiziba  mishipa  ya  vena  ambayo  ndio  hunyonya  damu  kutoka  kwenye  mishipa  ya  uume  ulio  simama. Matokeo  yake  basi, damu  kidogo  iliyo  ingia  ndani  ya  mishipa  ya  uume  na  kuufanya  uume  kusimama, hunyonywa  na  kutolewa  nje  ya  mishipa  ya  uume  ndani  ya  sekunde  chache  sana  na  hivyo  kuufanya  uume usinyae  ndani  ya  muda  mfupi  sana.
v.         Mishipa  ya  uume  kulegea
vi.       Uume  kurudi ndani  na  kusinyaa  na  kuwa  kama  uume  wa  mtoto
6.      Tatizo  la  unene  kupita  kiasi : Tatizo  la  unene  na  uzito  kupita  kiasi  ni  miongoni  mwa  mambo  yanayo  sababisha  upungufu  wa  nguvu  za  kiume. Unene  kupita  kiasi  humuweka  mtu  katika  hatari  ya  kupatwa  na  magonjwa  kama  vile  kisukari, presha, moyo  na  shinikizo  kuu  la  damu. Na  magonjwa  ya  kisukari, moyo,presha  na  shinikizo  la  damu  husababisha  upungufu na  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume, na  hivyo  kumuweka  muhusika  katika  hatari  kuu  ya  kupatwa  na  tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume.
Hivyo  basi  kwa  wewe  mwenye  tatizo  la  unene  na  uzito  kupita  kiasi , pamoja  na  kutumia  tiba  ya  nguvu  za  kiume,  ni  vyema  ukafanya  na  mpango  wa  kupunguza  unene  na  uzito  wako.
JINSI  YA  KUPUNGUZA  UZITO  NA  UNENE  KWA  KUTUMIA  TIBA  ASILIA, TAFADHALI  TEMBELEA:


7.   Matatizo  Katika  mfumo  wa  Ubongo 

Uume  hauwezi  kusimama   bila  ya  kuwa  na  ushirikiano  na  ubongo.  Ili mtu  uume  uweze  kusimama, mtu  lazima  apate  wazo  la  kufanya  tendo  la  ndoa  (UBONGO  UNA HUSIKA  HAPO ), akishapata  wazo, ubungo  hupeleka  ishara  kwenye  mishipa  ya  fahamu  iliyopo  katika  uti  wa  mgongo  ambayo  nayo hupeleka  taarifa  kwenye  mishipa  ya  uume  then  uume  usimama.   Hivyo  basi  ili  mtu  aweze  kuwa  na uwezo  wa kusimamisha  uume  wake  ni lazima  kuwa  na  mawasiliano  mazuri  na  imara  kati  ya mishipa  ya  fahamu ( ubongo ), mishipa  ya  kwenye  uti  wa  mgongo   na  mishipa  ya  kwenye    uume.  Bila  ushirikiano  kati  ya  vitu  hivyo  vitatu, uume  hauwezi  kusimama.
   Magonjwa  yanayoweza  kuathiri  ushirikiano  kati  ya  mishipa  ya  ubongo  na  mishipa  ya  uume, yanaweza  kusababisha  kushindwa  kusimama  kwa  uume.

Magonjwa  hayo  ni  pamoja  na  kiharusi,kupoteza  kumbukumbu  (  Alzheimer ), multiple  sclerosis pamoja  na  ugonjwa  wa  Parkinson.
Ni  vyema  mgonjwa  akatibiwa  kwanza  magonjwa  hayo  kabla  ya  kuanza  kutumia  dawa  ya  nguvu  za  kiume.  Kufahamu  jinsi  ya  kujitibu  magonjwa  tajwa  hapo  juu  kwa  njia  asilia,tafadhali  tembelea

Mambo   mengine  yanayo  sababisha  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni  pamoja  na  maumivu & majeraha  kwenye  uti  wa  mgongo,  chango  la  kiume , ngiri  na  matatizo  katika  homoni.

  VIASHRIA  VYA  MTU  MWENYE  TATIZO  LA  UKOSEFU/UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.
Mtu  mwenye  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  huwa  na  dalili  zifuatazo ;
1. Kushindwa  kabisa  kusimamisha  uume  wake
2. Uume  kusimama  ukiwa  legelege
3. Kuwahi  kumaliza  tendo  la  ndoa
4. Mwanaume  kutokuwa  na uwezo  wa  kufanya  tendo  la  ndoa  katika  baadhi  ya  staili  ( Mara  nyingi   mwanaume  huyu huwa  na  uwezo  wa  kufanya  tendo  la  ndoa    staili  moja  tu ).  Hapa  mwanaume  anakuwa  na  uwezo  wa  kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  staili  ya   “ missionary” pekee.  Ikibadilishwa   staili, mwanaume  anakuwa hana  tena  uwezo  wa  kusimamisha  uume  wake  japo  katika  hali  ya  u lege  lege
5. Uume  kutokuwa  na  uwezo  wa  kusimama  wenyewe   bila  kushikwashikwa  ama  kutomaswa kwa  muda  mrefu.
6. Uume  kusinyaa  ukiwa  ndani  ya  mwanamke.
7. Uume  kusinyaa, pindi  inapotokea  activity  yoyote  ya  kiungo  ama  ogani  nyingine  ya  mwanaume  wakati  wa  tendo  la  ndoa. Kwa  mfano, wakati  wa  tendo  la  ndoa, ikitokea  mwanaume  amekohoa  au  kupiga  chafya, uume  nao  unasinyaa.
8. Uume  kusinyaa  mara  tu  baada  ya kutolewa  ndani  ya  uke ( Kwa  mfano  kama  unafanya  tendo  la  ndoa, halafu  uume  ukatoka  nje, kitendo  cha  kuushika  kuurudisha ndani, tayari  una  sinyaa )
9. Kutokuwa  na  uwezo  wa  kurudia  tendo  la  ndoa.
10.    Kupatwa  na  maumivu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.


VIASHIRIA  VYA  MWANAUME  ASIYE  NA  TATIZO  LA UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.

Mwanaume  asiye  na  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume, huonyesha  ishara  zifuatazo ;
i.           Uume  husimama  ukiwa  imara  kama  msumari.
ii.         Hukaa  kifuani  kwa  muda  mrefu  ( Wastani  ni  kati  ya  dakika  20  hadi  45  )
iii.       Huweza  kurudia  tendo  la  ndoa  zaidi  ya  mara  tatu  bila  misuli  ya  uume  kuchoka.
iv.       Huweza  kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  staili  yoyote  ile
v.         Uume  husimama  wenyewe  bila  kushikwa  shikwa  wala  kuwa  stimulated  kwa  namna  yoyote  ile
vi.       Kwa  ufupi  anakuwa  na  uwezo  wa  kufanya na  kukamilisha  tendo  la  ndoa  kwa  uukamilifu  mkubwa.

TIBA  ASILIA  YA  TATIZO  LA  UKOSEFU/UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.

Dawa  asilia  ya  JIKO   ni  dawa  asilia  inayo  tibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.

                              MFUMO   WA  DAWA
Dozi  ya  dawa  ya  JIKO ni  mkusanyiko  wa  dawa  nne  asilia  zenye  uwezo  mkubwa  sana  katika kutibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume.
Dawa  hizi  zipo  katika  mfumo  wa  MIZIZI  na  UNGA  UNGA.

JINSI   DOZI  YA  DAWA  YA  JIKO  INAVYO  FANYA  KAZI.
Dozi  ya  dawa  ya  JIKO  inafanya  kazi  zifuatazo  katika  mwili  wa  mwanadamu.

KAZI  INAYO  FANYWA  NA  DAWA  YA  JIKO .

Dawa  ya  JIKO  inasadia  katika  mambo  makuu yafuatayo:

          
1.  Inasaidia   kuimarisha  mishipa  ya  uume  ulio legea  na  hivyo  kuufanya  uume  uwe  na uwezo  wa  kusimama  barabara  kama  msumari  wakati  wa  tendo  la  ndoa.

2. Inasaidia  kusafisha  mishipa  ya  kwenye  uume  na  hivyo  kusaidia  katika  kuongeza  kasi  ya  msukumo  wa  damu  kwenye  mishipa  ya  kwenye  uume.

3. Huongeza  damu  mwilini

4. Husaidia  kuongeza  msukumo (pressure)  wa  damu  kwenye  mishipa  ya  uume  na  hivyo  kuufanya  uume  kuwa  na  nguvu  za  ajabu.

5. Huipa  misuli  ya  uume  uwezo  wa  kuziba  wa  kuizuia  mishipa  ya  vena   kunyonya  damu  kwenye  mishipa  ya  uume  wakati  wa  tendo  la  ndoa  na  matokeo  yake  kukupa  uwezo  wa  kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  muda  mrefu
               ( Kuzuia  hali  ya  kufika  kileleni  haraka  )

6. Husaidia  kurelax  mind  na  hivyo  kumfanya  mtu  awe  na  uwezo  wa  kuconcentrate  wakati  wa  tendo la  ndoa   bila  kuathiriwa  na  msongo  wa  mawazo

7.  Hurejesha, kuimarisha  na  kuboresha  ushirikiano  kati  ya  mishipa  ya  fahamu  ya  kwenye  ubongo  (nerves), mishipa  ya  kwenye  uti  wa  mgongo  pamoja  na  mishipa  ya  kwenye  uume

8. Humfanya  mwanaume  awe  na  uwezo  wa  kurudia  tendo  la  ndoa  mara  nyingi  zaidi  bila  kuchoka.

9. Husaidia  kuongeza  hamu  ya  tendo  la  ndoa.

10.            Husaidia  kuurudisha  nje  uume  ulio ingia  ndani.

11.               Husaidia  kutibu  side effects  za  punyeto  na  matumizi  ya  muda  mrefu  ya dawa  kali  za  (za  kizungu ) za  kuongeza  nguvu  za  kiume.

12.                Husaidia  kutibu  chango  la  kiume.

13. Dawa  asilia  ya  jiko  ina  viambata  vyenye  kiwango  kikubwa  cha  viondoa  sumu  mwilini. Tatizo  la  uwepo wa  sumu  kwenye  mishipa  ya  damu  lisipo  dhibitiwa  mapema  linaweza  kumsababishia  mhusika  kupatwa  na  magonjwa hatari  yasiyo  ambukiza. Baadhi  ya  magonjwa  hayo  ni  pamoja na  tatizo la  shinikizo  la  juu  la damu ama  presha.  Tatizo  la  Presha  ni  moja  kati  ya  vyanzo  vikuu  vya  tatizo  la  ukosefu  na/ ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

Mbali  na  kuondoa  sumu  kwenye  mishipa  ya  damu, viambata  hivyo  husaidia pia  kudhibiti  na  kuondosha chembechembe  zisizo hitajika  ndani  ya  mishipa ya  damu.  Chembechembe  hizi  hujengeka  ndani  ya  mishipa ya  damu  kwa  sababu  mbalimbali. Na  kwa  mujibu  wa tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, chembe  chembe  hizo  zisizo dhibitiwa  mapema  huwa  moja kati  ya  vyanzo  vikuu  vya  magonjwa   hatari  yasiyo  ambukiza kama vile  presha.  Na  tatizo  la  presha  ni  moja  kati  ya  vyanzo  vikuu vya  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume. 

14.  Dawa  hii  asilia  ya  Jiko ina  viambata  vyenye  kiwango  kikubwa  cha  mafuta  yajulikanayo  kitaalamu kama  OMEGA 3 . Mafuta  ya  Omega 3  yamethibitishwa  kisayansi kuwa  na  faida  kubwa  sana  katika  afya  ya  mwanadamu.  Faida  kuu  kuliko  zote  ya  mafuta  ya  Omega  3  katika  mwili  wa  mwanadamu  ni  kusaidia  kuimarisha  afya  ya  moyo, kutibu  na  kudhibiti  visababishi  vya  maradhi  ya  moyo  pamoja na  kuukinga  na kulinda  afya  moyo.  Mafuta haya  hulinda  afya  ya  moyo  kwa  kushusha  na  kudhibiti presha.  Presha  isipo  dhibitiwa  huweza  kusababisha  matatizo  katika moyo.   Mafuta  haya  pia  husaidia kudhibiti  tatizo  la  mapigo  ya  moyo  kwenda  kasi  pamoja na kuyeyusha mafuta  yaliyo ganda  kwenye  mishipa  ya  damu. Tatizo  la  shinikizo  la  juu  la  damu  ni  moja  kati  ya  vyanzo  vikuu  vya  tatizo  la  ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.


15.            Dawa  hii  huwasaidia  hata  wanawake  wanao sumbuliwa  na  tatizo  la  ukosefu  wa  hamu ya  tendo  la  ndoa.

BEI  YA  DAWA:  Dozi  ya  dawa  ya  JIKO  inapatikana  kwa  gharama  ya  SHILINGI  ELFU  THEMANINI  TU  (Tshs.80,000/=)


MAHALI  TUNAPOPATIKANA :
Dozi  ya  dawa  ya  JIKO, inatolewa  na  duka  la  dawa  asilia  la  NEEMA  HERBALIST    NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC. Tunapatikana  jijini  DAR ES  SALAAM, katika  eneo  la UBUNGO jirani na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.   

Kwa  wasio  weza  kufika  ofisini  kwetu, tunatoa  huduma  ya kuwapelekea  dawa  mahali  walipo  ( DELIVERY )

Kwa  wateja  waliopo  nje  ya  DAR  ES  SALAAM, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  mabasi, wateja  waliopo  Zanzibar, watatumiwa  dawa  kwa   njia  ya  boti  na  kwa  wateja  waliopo  Ulaya, America  na  Arabuni, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  DHL  au POSTA.

WASILIANA  NASI  KWA  SIMU  NAMBA 

0693 005 189
AU 
0766 53 83 84.

Na  kwa  maelezo  zaidi  kuhusu  huduma  zetu, endelea  kutembelea:

Comments

  1. UNAWEZA KUIPATA KWA MDA GANI NIKIASI GANI

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inauzwa SHILINGI ELFU THEMANINI., Kuipata inategemea upo wapi. Kama upo DAR ES SALAAM, utaipata siku hiyo hiyo ukiihitaji, kama upo nje ya Dar Es salaam, itategemea pia upo mkoa gani au nchi gani. Katika baadhi ya mikoa utaipokea dawa siku hiyo hiyo, mingine baada ya siku moja na mingine baada ya siku mbili

      Delete
    2. Nusu dozi je nitapata na matumizi yake

      Delete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. Nitafurahi sana kama dawa hii inafanya kazi vema maana watapona wengi sana na kunusuru ndoa nyingi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ukitumia JIKO, ndoa yako itapona kama zilivyo pona ndoa za watu wengine walio tumia dawa hii ya asili yenye nguvu za ajabu.

      Delete
  4. baada ya muda gani unaona matokeo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndugu Japhet Mwingira, utaanza kuona mabadiliko mazuri kuanzia siku ya saba na baada ya siku thelathini, utakuwa umepona kabisa tatizo lako.

      Delete
    2. Naitwa juma ramazani na nimevutiwa sana na dawa hiyo nikiamini itaweza kunisaidia kwa tatizo langu la nguvu za kiume niko kigoma pia ni mgonjwa wa kisukari na muathirika wa punyeto kwa muda mrefu sana

      Delete
  5. Japhet mwingira ; Jiko ni dozi ya siku thelathini. Unatumia dawa pamoja na lishe yake maalumu (special diet ) ambavyo vyote utavipata @ Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic

    ReplyDelete
  6. hii dawa ni ya muda mfupi tuu au vipi.
    maana isije kuwa ni dawa ya yenye maisha ya miezi miwili tu baada ya hapo tatizo linarudia palepale

    ReplyDelete
  7. Ni tiba ya kudumu. Inatibu na KUPONYESHA moja kwa moja.

    ReplyDelete
  8. JE KAMA UNA PRESSURE YA KUPANDA NA UNATUMIA DAWA ZA HOSPITALI UNAWEZA NUNUA DAWA HIYO NA KUITUMIA BILA KUATHIRI DAWA ZA HOSPITALI NA KUSIWE NA SDE EFFECT YOYOTE?

    ReplyDelete
  9. Benta wasiliana nasi kwa ushauri zaidi. Simu 0766 53 83 84

    ReplyDelete
  10. Bei haipungui toa kipaumbele kwa wenye uchumi mdogo mi nahitaji lkn kwa bei hiyo sina uwezo

    ReplyDelete
  11. Dawa hiyo doz yake ni tsh 80,000/= ni pamoja na lishe yake kamili?.

    Kama sivyo ,lishe kamili nayo inauzwaje?

    ReplyDelete
  12. kuna vipimo vyovyote ambavyo mtamfanyia mgonjwa vipimo au akifika ni dozi tu

    ReplyDelete
  13. Habari,
    Naomba niwatafute inbox kwenye page yenu ya facebook ama kupitia namba zenu za simu. Si munapatijana watsapp pia? Naomba mnijibu tafadhali

    ReplyDelete
  14. Hiyo dawa lazima utumie doz nzima au hata nusi!! Maana bei hiyo sio wote wanaweza idumu.

    ReplyDelete
  15. ni kweli hii dawa inatibu jamani........ kama una tatizo waone hawa watu hakika utapata msaada

    ReplyDelete
  16. Je, tatizo la kukawia sana kufikia kileleni kwa mfano raundi ya kwanza huzidi dk 30, raundi ya pili inakwenda mpaka pumzi zinakata na uume ukiwa umesimama "kama msumari" lakini sifiki kileleni mpaka naahirisha kwa usalama wa mwenzangu... Je hili nalo latibika kwa dawa hiyo ya JIKO?

    ReplyDelete
  17. Asanteni kwa Elihu na tiba
    Hiyo dawa iko pamoja na lishe yake au inatolewa tofauti?

    ReplyDelete
  18. kuna tatizo pia la kiuno pamoja na mgongo nalo pia huchangia kupungukiwa na nguvu za kiume je? Endapo utatumia hiyo dawa ya JIKO nayo italiondo hilo tatizo la maumivu AMA?

    ReplyDelete
  19. Je kama sikupata matokeo yanayokusudiwa baada ya kutumia hiyo dawa ya jiko ...nitabadilishiwa dawa nyingine ama nitarudishiwa pesa?

    ReplyDelete
  20. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  21. Mtu anawezaje kuacha kupiga punyeto..?

    ReplyDelete
  22. Nahitaji hiyo dawa napatikana iringa ntaipataje

    ReplyDelete
  23. Nice Jiko Thanks for Information

    ReplyDelete
  24. Naomba kujua hakuna punguzo au nusu dozi na pia ni pamoja na rishe yake

    ReplyDelete
  25. Sasa nafanyaje ili kupata dozi hiyo na nipamoja na rishe yake au inakuwaje?kingine nusu dozi siwezi kupata? Na hiyo dawa haina punguzo

    ReplyDelete
  26. Tupeni punguzo kana ombi la wengi hapo juu

    ReplyDelete
  27. Swari inamaana sh 80000 dozi full mpaka kupona au kuna zaidi sh 80000

    ReplyDelete
  28. Dawa imekubalika na wengi ila kwenye bei tutashindwa wengi pia!

    ReplyDelete
  29. Embu mkija tena mje na mada ya uume mfupi kuwa mrefu

    ReplyDelete
  30. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  31. Sisiwatu wenyekiwango kidogo mnatusaidiaje na matatzo tunayo

    ReplyDelete
  32. Sisiwatu wenyekiwango kidogo mnatusaidiaje na matatzo tunayo

    ReplyDelete
  33. Sisiwatu wenyekiwango kidogo mnatusaidiaje na matatzo tunayo

    ReplyDelete
  34. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka