Ukosefu na/ama
upungufu wa nguvu za
kiume, ni tatizo linalo
wakabili mamilioni ya
wanaume duniani.
Tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu
za kiume ni nini ?
Ukosefu ama
upungufu wa nguvu za
kiume ni ile
hali ya mwanaume
kutokuwa na uwezo
wa kufanya tendo la
ndoa kwa ukamilifu
HATUA MBILI
MUHIMU KATIKA KUSIMAMA
KWA UUME
Ili mwanaume
aweze kufanya tendo
la ndoa na andelee kufanya
tendo la ndoa, ni
lazima uume wake upitie
hatua kuu mbili
kama ifuatavyo :
Hatua ya
kwanza, ni lazima uume
wake uweze kusimama
barabara na kuwa
mgumu kama msumari.
Na hatua
ya pili ni
lazima, uume wake uendelee
kusimama kwa muda
mrefu wakati wa
tendo la ndoa.
Hatua zote mbili
zinapo kamilika, ndipo tunapo
pata kitu kinaitwa
STRONGER AND
LONGER ERECTION
JINSI HATUA
ZA KUSIMAMA KWA
UUME ZINAVYO TOKEA.
1.
HATUA YA KWANZA:
DAMU KUTIRIRIKA
KWA KASI KUINGIA NDANI
YA MISHIPA YA
UUME NA KUUFANYA
UUME KUSIMAMA NA
KUWA MGUMU.
Unapopata wazo
la kufanya tendo
la ndoa, mishipa ya
fahamu iliyopo kwenye ubongo,
hupeleka ishara kwenye
mishipa ya uti
wa mgongo, ambayo nayo
hupeleka taarifa hadi
kwenye mishipa ya
uume. Taarifa inapofika kwenye
mishipa ya uume
huifanya mishipa hiyo ku-relax
na hatimaye kufanya
mishipa ya ateri
kufunguka na kutanuka. Mishipa ya
ateri inapo tanuka
na kufunguka, huruhusu damu
kuingia kwa kasi
ndani ya mishipa
ya uume na
hivyo kuufanya huume
kusimama.
Ni muhimu
kujua kuwa, mishipa ya
uume inapo relax hupelekea
kuisukuma na hatimaye kuiziba
mishipa ya vena
iliyo karibu na
mishipa ya uume
na hivyo kuiondolea
uwezo wa kunyonya
damu iliyomo ndani
ya mishipa ya
uume na kuipeleka
sehemu nyingine za
mwili.
N.B:
Kazi kubwa ya
mishipa ya vena
ni kunyonya damu
iliyomo ndani ya
mishipa ya uume
na kuipeleka katika
sehemu nyingine za
mwili. Au kwa
lugha nyingine unaweza
kusema, kazi kubwa ya
mishipa ya vena
ni kuhakikisha hakuna
damu kwenye mishipa
ya uume.
KWA
MAELEZO
ZAIDI, TEMBELEA
Comments
Post a Comment