Skip to main content

UHUSIANO KATI YA UGONJWA WA KISUKARI NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.







Ugonjwa  wa  kisukari  ni  miongoni  mwa  vyanzo  vikuu  vya  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.
Asilimia  kubwa  ya  wagonjwa  wa   kisukari  wanakabiliwa  na  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.
Unajua  ni  kwa  nini  wanaume  wenye  kisukari  wanasumbuliwa  pia  na  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  ?
JIBU  NI  RAHISI  SANA, NALO  NI  KWA  SABABU  KUNA  UHUSIANO  MKUBWA  SANA  KATI  YA  UGONJWA  WA  KISUKARI  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.
Kabla  hatuja  fahamu  kuhusu  uhusiano  uliopo  kati  ya  ugonjwa  wa   Kisukari  na  tatizo   la  ukosefu wa nguvu  za  kiume  ni  vyema  tukafahamu  kwanza   kuhusu  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA  KIUME.
Sayansi  ya  nguvu  za  kiume, itatuwezesha  kufahamu  kuhusu  mechanism  ya  nguvu  za  kiume. Itatusaidia  kujibu  maswali  muhimu  kuhusu  nguvu  za  kiume  kama  vile: KITU  GANI  KINAFANYA  UUME  USIMAME ?  KITU  GANI  KINAFANYA  UUME  USISIMAME  ? KITU  GANI  KINAFANYA  UUME  USIMAME  KWA  MUDA  MREFU  ?   KITU  GANI  KINAFANYA  UUME  USISIMAME  KWA  MUDA  MREFU ? KITU  GANI  KINAFANYA  UUME  USIMAME  UKIWA  IMARA  KAMA  MSUMARI  ? KITU GANI  KINAFANYA  UUME  USIMAME  UKIWA  LEGELEGE  ?   nakadhalika.
Kufahamu  kuhusu  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA  KIUME, tafadhali  tembelea  link  hii  hapa  chini :

Baada  ya  kufahamu  kuhusu  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA  KIUME, sasa  tunaweza  kufahamu  kuhusu  UHUSIANO  ULIOPO  KATI  YA  UGONJWA  WA  KISUKARI  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.
Ukisoma  vizuri  kuhusu  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA  KIUME  utagundua  kuwa  SUALA  LA  NGUVU  ZA  KIUME  NI  SUALA  LA  KIMFUMO.
Mambo  makuu   muhimu  katika  MFUMO  WA  NGUVU  ZA  KIUME  ni
·       Ubongo  imara  na  wenye  afya  njema
·       Mishipa  imara  ya  kusafirishia  damu   mwilini
·       Mfumo  imara  na  wenye  afya  wa  usafirishaji  damu  mwilini.
·       Mishipa  na  misuli  ya  uume  iliyo  imara  na  yenye  afya  njema
·       Pamoja  na  uhusiano  imara  na  wenye  afya  kati  ya  mishipa  ya  fahamu  iliyo  katika  ubongo  ( nerves),mishipa  ya  kwenye  uti  wa  mgongo  ( spinal  cords )  pamoja  na  mishipa  & misuli  ya  kwenye  uume.
Ili  mwanaume  aweze  kuwa  na  nguvu  imara  za  kiume  ni  lazima   mfumo  wa  mwili  wake  uwe  na  mambo  yote  matano  yaliyo  tajwa  hapo  juu .
Kukosekana   ama  kuwa  na  hitilafu  katika    lolote  kati  ya  mojawapo  kayi   mambo  yaliyo  tajwa  hapo  juu  kutamfanya  mwanaume  huyo  apungukiwe  na  nguvu  za  kiume.
Hitilafu  ama  kukosekana  kwa  zaidi  ya  jambo  moja  kati  ya  mambo  yaliyo  tajwa  hapo  juu, kutamfanya  mhusika  awe  katika  risk  ya  kupungukiwa  nguvu  za  kiume  maradufu.

JINSI  UGONJWA  WA  KISUKARI  UNAVYO  SABABISHA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.
Ugonjwa  wa  kisukari, pamoja  na  mambo  mengine  mengi, unafanya   mambo  yafuatayo  katika  mwili  wa  mwanadamu:
·       Unashambulia  na  kudhoofisha  mishipa  ya  ubongo.
·       Unashambulia  na  kudhoofisha  mishipa  inayo  safirisha  damu  mwilini  ( Blood  Vessels )
·       Unashambulia  na  kudhoofisha  mishipa  na  misuli mbalimbali  iliyopo  katika  sehemu  mbalimbali  za  mwili  wa  mwanadamu  ikiwemo  mishipa   na  misuli  ya  kwenye  uume.

Mishipa  ya  ubongo  ( nerves ), mishipa  ya  damu  ( Blood  Vessels ), pamoja  na  misuli & mishipa  ya  kwenye  uume, ni  vitu  muhimu  sana  katika   MFUMO  WA  NGUVU  ZA  KIUME.
Kudhoofishwa  kwa  vitu  hivi  muhimu, husababisha  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.
Hii  ndio  sababu  kuu  inayo  wafanya  wagonjwa  wa  kisukari  kusumbuliwa  na  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.

TIBA  YA  UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME  KWA  MGONJWA  WA  KISUKARI.
Ili  mgonjwa  wa  kisukari  aweze  kupata  tiba  ya  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume, ni  lazima   apate  pia  tiba   itakayo  saidia  ku- control  sukari  kwenye  damu   yake.
Hivyo  basi ,  tiba  ya  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  kwa  mgonjwa  wa  kisukari  inatakiwa  kwenda   sanjari  na  tiba  ya  ku - control  sukari  kwenye  damu  ya  mgonjwa.
Hii  ina  maana  kuwa,   ili  tiba  ya  nguvu  za  kiume  kwa  mgonjwa  wa  kisukari  iweze  kufanya  kazi  barabara, ni  lazima  mgonjwa  huyo, pamoja  na   kutumia  tiba  ya  nguvu  za  kiume , apate  pia  tiba  ya  sukari.
TIBA  HII  HAIPONYESHI  TATIZO  LA  KISUKARI, ISIPOKUWA  INASAIDIA  KU –CONTROL  SUKARI KATIKA  DAMU  YA  MGONJWA  NA  HIVYO   KUISAIDIA  TIBA  YA  NGUVU  ZA  KIUME  KUFANYA  KAZI  VIZURI.

Dawa  Ya  Nguvu  Za  Kiume  Kwa  Mgonjwa  Wa  Sukari :  Dawa  asilia  ya  JIKO  ni dawa  ambayo  inasaidia  kutibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  nguvu  za  kiume  kwa  watu  wote, ikiwemo  wagonjwa  wa  kisukari.  ( WAGONJWA  WA  KISUKARI  NI LAZIMA  WATUMIE  DAWA  YA  JIKO , PAMOJA  NA  DAWA  YA  KU-CONTROL  SUKARI  MWILINI  )
Kufahamu  zaidi  kuhusu  dawa  ya  JIKO  na  namna  inavyo  fanya  kazi. Tafadhali  tembelea :

TIBA   YA   KU-CONTROL  SUKARI  MWILINI
Zipo   dawa  mbalimbali  za  asili  zinazoweza  kutumika , kutibu  tatizo  la  kisukari. Lakini  miongoni  mwa  dawa  hizo, dawa  asilia  zifuatazo  zimethibitika  kuwa  na  uwezo  mkubwa  sana  wa  ku-control   kiwango  cha  sukari  kwenye  damu.
Kufahamu  kuhusu  dawa  asilia  zinazo  saidia  ku-control  kiwango  cha  sukari  mwilini, tafadhali  tembelea :

JINSI  YA  KUPATA  TIBA  YA  NGUVU  ZA  KIUME  KWA  WAGONJWA  WA  KISUKARI.
Kama  wewe   una tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume   unao  tokana  na  ugonjwa  wa  kisukari, unatakiwa  kutumia  DAWA  YA  JIKO  pamoja  na  TIBA  YA ASILI  INAYO  SAIDIA  KU-CONTROL  KIASI  CHA  SUKARI  MWILINI.
Kupata  dawa  hizo  wasiliana  na  duka  la  NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC.
Tunapatikana  jijini  DAR  ES  SALAAM  katika  eneo  la  TABATA  MAKOKA  , karibu  na  Shule  ya  Sekondari ya  Mt., Annuarite  .
WASILIANA   NASI   KWA  SIMU   NAMBA   0766  53  83  84.
Kwa  wateja  wasio  weza  kufika  ofisini  kwetu, tunawapelekea  dawa  mahali  walipo
( DELIVERY )
Kwa  wateja  wa  mikoani, tunawatumia  dawa  kwa  usafiri  wa  mabasi. Kwa  wateja  waliopo  Zanzibar  tunawatumia  dawa  kwa  usafiri  wa  boti  na  kwa  wateja  waliopo  ughaibuni, tunawatumia  dawa  kwa   njia  ya  DHL  au  POSTA.

Kwa  taarifa  zaidi kuhusu  huduma  zetu, tutembelee :

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...