Skip to main content

JINSI DAWA ASILIA YA MVUNGE INAVYO TUMIKA KATIKA KUNENEPESHA NA KUONGEZA UKUBWA WA MWILI.



Mti  wa  mvunge  ni  mti  ulio  thibitishwa  kisayansi, kuwa  na  uwezo   mkubwa  wa  kusaidia  kunenepesha  na  kuongeza  ukubwa  wa  mwili.  http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1675676/-/11rp5fp/-/index.html
Mti  wa mvunge  ni  mti  wenye faida  na  matumizi  mengi.  Karibu  kila  sehemu  ya  mti  huu  ina  faida  kwa   mwanadamu.  
Tunda  la  mvunge  husaidia  kunenepesha  mwili  na  kuongeza  ukubwa  wa  mwili.
Pia  husaidia  kunenepesha  pamoja  na  kuongeza  nguvu  ya  mwili  kwa  watu  walio  dhoofika  kutokana na  sababu  mbalimbali  kama  vile  kuugua  maradhi  tofauti  tofauti  pamoja  na  msongo  wa  mawazo.
JINSI  YA  KUTUMIA  MTI  WA  MVUNGE  KATIKA  KUNENEPESHA   MWILI.
Ili uweze  kunenepesha  mwili  wako  kwa  kutumia  tiba  ya  mti  wa  mvunge, unatakiwa  kufanya  kama  ifuatavyo :
1.   MAHITAJI :
i.                  Unga  wa   mti  wa  mvunge  vijiko  vidogo  vitatu.
ii.              Maji  lita  moja.



2.   MATAYARISHO
Chukua  vijiko  vidogo  vitatu  vya  unga  wa  mti  wa  mvunge, kisha  changanya  kwenye  maji  lita  moja  halafu  chemsha  hadi   dawa  yako  itokote  na  kubadilisha  rangi  ya  maji  kuwa  ya  damu ya  mzee,.   Kisha  ipua, chuja, weka  makapi  pembeni, ubaki  na  juisi  yako.

MATUMIZI  :    Tumia  kunywa  vikombe  viwili  asubuhi, na  vikombe  viwili  jioni. Utafanya  hivyo  kwa  muda  wa  siku  thelathini.  UTAPATA  MATOKEO  MAZURI  SANA. MWILI  WAKO  UTAONGEZEKA, KUNENEPA  NA  KUNAWIRI.

LISHE   YA   KUTUMIA   PAMOJA  NA  TIBA  YA  MVUNGE.
Pamoja  na   tiba  ya  mvunge, unashauriwa  kutumia   “ mboga  ya  ufuta “  walau  mara   mbili  kwa  siku  kwa  muda  wa  siku  thelathini .   Unaweza  kula  eidha  kwa  ugali, au  wali, au mkate, chapatti, vitumbua  maandazi  nakadhalika.  Kama  utakuwa  na  nafasi  ya  kutumia  mboga  ya  ufuta   katika  milo  yako  mitatu, itakuwa  ni  jambo  zuri  zaidi.

JINSI   YA   KUTAYARISHA  MBOGA  YA  UFUTA.
MAHITAJI :
i.                  Ufuta   vijiko  vikubwa   vinne.
ii.              Nyanya   nne
iii.           Kitunguu  maji  kimoja
iv.            Mafuta  ya  kupikia.
MATAYARISHO
Unga ufuta  wako  kwa  mafuta, nyanya  na  vitunguu  kisha  uupike  hadi  uive.

MATUMIZI
Tumia  ufuta  wako  kama  mboga, kwa  kulia  na  ugali, wali,chapatti, maandazi  nakadhalika.
Fanya  hivyo  mara  mbili  kwa  siku  kwa  siku  thelathini.

JINSI  YA  KUPATA  DAWA  YA  MVUNGE :  Kwa  mahitaji  yako  ya  dawa  ya  MVUNGE   pamoja  na  UFUTA  fika  katika  ofisi  za  NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC, duka  la  kuuza  dawa  mbalimbali  za  asili  lililopo  jijini  Dar  Es  Salaam, katika  eneo  la  UBUNGO  jirani  na  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING, nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.
Kwa  wateja  wa  jijini  Dar  Es  Salaan, wasio   na  nafasi  ya  kufika  ofisini  Ubungo, watapelekewa  dawa  mahali  walipo, kwa  wateja  waliopo   mikoani  na  nchi  jirani, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  mabasi, kwa  wateja  waliopo   Zanzibar, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  Boti, kwa  DIASPORA, watatumiwa  dawa  kwa   njia  ya  POSTA  au  DHL.
KWA  MAWASILIANO   YA  SIMU, PIGA  SIMU NAMBA  0766  53  83  84.
Na  Kwa  taarifa  zaidi  kuhusu  huduma  zetu,  tembelea  kila  siku :

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...