Skip to main content

JINSI YA KUTENGENEZA TIBA-LISHE YA KUTIBU NA KUPONYESHA KABISA TATIZO LA VIDONDA VYA TUMBO.


Image result for ufuta  images
Ufuta

Vidonda  vya  tumbo  ni  tatizo  linalo  watesa,  mamilioni  ya  watu  duniani.  Hata  hivyo, kama  wewe  ni  mhanga  wa  tatizo  la  vidonda  vya  tumbo, unaweza  kupona  tatizo  lako  kwa  kutumia   lishe  ( Tiba-Lishe )  Asilia.

Asali
Tiba lishe  asilia  ya  kutibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  vidonda  vya  tumbo, inaandaliwa  kama  ifuatavyo :

MAHITAJI.

i.                  Maziwa  fresh   nusu   lita.
ii.              Mayai  manne  ya  kuku  wa  kienyeji
iii.           Asali mbichi  ya  nyuki  wadogo  nusu  lita. ( Igawanye  katika  robo lita )
iv.            Kijiko  kimoja  kikubwa  cha  unga  wa  makaratusi
v.               Kijiko  kimoja  kikubwa  cha  unga  wa  Habat   Sodah.
vi.            Ufuta  robo  kilo
vii.        Dawa  asilia  ya  Mkatavido.


MATAYARISHO :

A. Chukua  maziwa  fresh  kiasi  cha  nusu  lita  na  uyachemshe, kisha  yaipue  halafu  yaache  hadi  yapoe.  Yakisha  poa, tia  ndani  yake  viini  vinne  vya  mayai ya  kuku  wa  kienyeji.  Halafu  ongeza  robo lita  ya  asali  mbichi  ya  nyuki  wadogo, kisha  weka  kijiko  kimoja  kikubwa  cha  unga  wa  makaratusi, pamoja  na  kijiko  kimoja  kikubwa  cha  unga  wa  Habbat   Sodah. Koroga  mchanganyiko  wako  na  uuhifadhi  kwenye   chombo  kisafi.

MATUMIZI : Tumia  kula  vijiko  viwili  vikubwa, mara  tatu  kwa  siku  kwa muda  wa  siku  saba.



B :  MATAYARISHO.

Chukua  ufuta  robo  kilo, utwange  kisha  uchanganye  kwenye   robo lita  ya asali  mbichi  ya  nyuki  wadogo, weka  kwenye  chupa  ya  plastiki, tikisa  na  uache  mchanganyiko  wako  kwa  muda  wa  lisaa  limoja.

MATUMIZI :  Tumia  kula   vijiko  viwili vikubwa, mara  mbili  kwa  siku  kwa  muda   wa  siku  kumi.

C :    MATAYARISHO.
Chukua  vijiko  viwili  vya  dawa  ya  MKATAVIDO, kisha  changanya  kwenye  glasi  yenye  maziwa  ya  moto  ambayo  ujazo  wake  ni  milimita  mia  mbili  na  hamsini. Ukimaliza  hapo  koroga  kisha   iache  kwa  muda  wa  dakika  tatu.

MATUMIZI : Tumia  kunywa  mara  mbili  kwa  siku, asubuhi  na  jioni  kwa  siku  thelathini.

JINSI  YA  KUPATA  DAWA  YA  MKATAVIDO :  Kwa  mahitaji  yako  ya  dawa  ya  MKATAVIDO    pamoja  na  dawa  zote  zilizo  orodheshwa  hapo  juu,  fika  katika  ofisi  za  NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC, duka  la  kuuza  dawa  mbalimbali  za  asili  lililopo  jijini  Dar  Es  Salaam, katika  eneo  la  UBUNGO  jirani  na  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING, nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.
Kwa  wateja  wa  jijini  Dar  Es  Salaan, wasio   na  nafasi  ya  kufika  ofisini  Ubungo, watapelekewa  dawa  mahali  walipo, kwa  wateja  waliopo   mikoani  na  nchi  jirani, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  mabasi, kwa  wateja  waliopo   Zanzibar, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  Boti, kwa  DIASPORA, watatumiwa  dawa  kwa   njia  ya  POSTA  au  DHL.
KWA  MAWASILIANO   YA  SIMU, PIGA  SIMU NAMBA  0766  53  83  84.
Na  Kwa  taarifa  zaidi  kuhusu  huduma  zetu,  tembelea  kila  siku :


Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA