Kuna idadi
kubwa ya watu
ambao wana kabiliwa na
tatizo la kuwa na
uzito mdogo kupita kiasi.
Kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali
za kitaalamu, kuwa na
uzito mdogo kupita
kiasi ni jambo
linalo weza kuhatarisha afya
ya mhusika.
Kama ilivyo
kwa suala la
kuwa na uzito
mkubwa kupita kiasi,
suala la kuwa
na uzito mdogo
kupita kiasi pia
lina madhara mengi
katika afya ya
binadamu.
MADHARA YA KUWA
NA UZITO MDOGO
KUPITA KIASI (
KUKONDA NA KUDHOOFU
MWILI )
Kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali
za kitaalamu, yafuatayo ni
madhara ya kiafya
yanayo weza kumpata
mtu mwenye tatizo
la uzito mdogo
kupita kiasi.
1.
Kupungua
na kudhoofika kwa
kinga ya mwili
2.
Kuwa
katika hatari ya kushambuliwa
na magonjwa ya
mifupa kwa sababu
mwili hushindwa kupokea na
kutengeneza virutubisho muhimu
vinavyo hitajika katika kuimarisha
afya ya mifupa
3.
Kuwa na
nywele zisizo na
afya ( Kinyonyoki)
4.
Kuwa
na ngozi isiyo na
afya
5.
Kuugua
mara kwa mara
kutokana na kuwa na
kinga dhoofu ya
mwili.
6.
Watu
wenye uzito mdogo
kupita kiasi huwachukua
muda mrefu kupona
hata magonjwa ya
kawaida ambayo hupona
ndani ya muda mfupi, kwa
mfano anaweza akaugua
mafua ya kawaida
kwa muda wa wiki
nzima au Zaidi.
7.
Kujisikia
uchovu muda mwingi
8.
Kupungukiwa damu
ambako huweza kusababisha hali kama
vile kizungu zungu na
maumivu ya kichwa
ya mara kwa
mara.
9.
Kwa
wanawake , tatizo la uzito
mdogo kupita kiasi
linaweza kuathiri mpangilio
wa hedhi ambao
unaweza kupelekea matatizo
katika uzazi.
10.
Na
kwa mwanamke mjamzito mwenye
tatizo la uzito
mdogo kupita kiasi, anaweza kupatwa
na tatizo la kujifungua
kabla ya wakati yani
kabla ya wiki
37.
11.
Tatizo la
uzito mdogo kupita kiasi
huathiri ukuaji wa
watoto. Watoto wadogo
wanahitaji kuwa na
virutubisho vya kutosha
ili waweze kukua
na kuongezeka na kuwa
na mifupa yenye
afya. Ukosefu wa
vitu hivyo maana
yake ni kwamba
mtoto husika hatoweza kukua
na kuongezeka vizuri .
Vilevile tatizo la
uzito mdogo kupita
kiasi linaweza kusababisha
tatizo la mifupa
kwa watoto jambo ambalo
ni hatari kwa mustakabali
wa afya za
watoto husika.
12.
Tatizo
la uzito mdogo
kupita kiasi huathiri mchakato
wa uponyaji kwa
mtu mwenye tatizo
hilo ambae anatumia
dawa kwa ajili
ya kutibu magonjwa
na matatizo mbalimbali
ya kiafya. Kwa
mfano mtu mwenye tatizo
la uzito mdogo
kupita kiasi akipata
tatizo la kiafya
kama vile vidonda vya tumbo, halafu akaanza
kutumia dawa kwa
ajili ya kutibu
tatizo la vidonda , itamchukua muda
mrefu kupata nafuu
ya tatizo lake
kuliko mtu asie
na tatizo la
uzito mdogo kupita kiasi
na hii ni
kwa sababu tatizo
la uzito mdogo kupita kiasi
huathiri kinga na ufanisi wa mwili.
CHANZO
CHA TATIZO LA KUWA
NA UZITO MDOGO
KUPITA KIASI
(
KUKONDA NA KUDHOOFU
MWILI )
Kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali
za kitaalamu, zifuatazo ni
baadhi ya sababu
kuu za tatizo
la kuwa na
uzito mdogo kupita
kiasi ( Kukonda na kudhoofu
mwili )
1. Kuugua magonjwa
na matatizo mbalimbali
ya kiafya kama
vile vidonda vya
tumbo,presha na kisukari.
2. Msongo wa
mawazo.
3. Kujinyima kula (
Kufanya diet ngumu )
au kukosa hamu
ya kula kwa
muda mrefu. Kukosa
hamu ya kula kunaweza
kuwa kumesababishwa na
eidha kuugua magonjwa
na matatizo mbali mbali
ya kiafya au
kupatwa na tatizo
la msongo wa mawazo.
SULUHISHO LA TATIZO
LA UZITO MDOGO
KUPITA KIASI
(
KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )
Unaweza kumaliza
tatizo la kuwa
na uzito mdogo
kupita kiasi kwa
kuzingatia kula mlo
kamili ( Balanced
Diet ) au kwa kutumia
DAWA ZA ASILI
ambazo ni maalumu
kwa ajili ya
kumaliza tatizo la
kuwa na uzito
mdogo kupita kiasi (
KUKONDA NA KUDHOOFU
MWILI )
DAWA YA
ASILI INAYO MALIZA TATIZO
LA KUWA NA
UZITO MDOGO KUPITA
KIASI
(
TATIZO LA KUKONDA
NA KUDHOOFU MWILI )
Ipo DAWA –LISHE
YA ASILI ambayo INATIBU
na KUMALIZA kabisa tatizo
la kuwa na uzito mdogo
kupita kiasi ambalo
linaenda sambamba na
kukonda na kudhoofu
mwili. Dawa hii ni ya asili
kabisa isiyo na
kemikali yoyote ya
viwandani na inayo
saidia kutibu na kumaliza tatizo hili
na kuurudisha mwili
katika afya yake
ya awali ndani
ya siku thelathini.
JINSI YA
KUPATA DAWA HII: Jinsi
ya kupata dawa hii, fika
katika duka la kuuza
dawa za asili
la NEEMA HERBALIST.
Tunapatikana UBUNGO jijini
DAR ES SALAAM
nyuma ya JENGO
LA UBUNGO PLAZA
jirani na SHULE
YA MSINGI UBUNGO
NATIONAL HOUSING.
Wasiliana nasi
kupitia simu namba 0693
- 005 189.
Na kwa
taarifa Zaidi kuhusu
huduma zetu nyingine, tutembelee kupitia
tovuti yetu :
Comments
Post a Comment