IMARISHA AFYA
YA UBONGO YA
MTOTO WAKO KWA
KUTUMIA MMEA WA
CHIWA SEED
Chiwa seed
ni mmea ulio fanyiwa
tafiti nyingi za
kisayansi na kuthibitika
kuwa na umuhimu mkubwa
sana katika afya
ya mwanadamu. Mbegu hizi
zinatajwa kuwa na
msaada mkubwa sana
kwa watu wenye
kusumbuliwa na magonjwa
& matatizo mbalimbali
ya kiafya.
Chia Seed zikiwa shambani. Photo Credit to JF |
Moja
kati ya faida
muhimu za mbegu
za Chiwa Seed
ni kutumika katika
kuimarisha afya ya
ubongo wa watoto.
Tafiti mbalimbali za
kitaalamu zinaeleza kuwa, Chia
Seeds zina kiwango
kikubwa cha Omega 3 na
Omega 6 Fatty
Acids ambazo ni
muhimu sana katika
kusaidia Ubongo kutengeneza
seli zake . Virutubisho hivi
vinatajwa kuwa muhimu
sana kwa watoto na Chia
unatajwa
kama mmea pekee wenye virutubisho hivyo.
JINSI YA
KUTUMIA CHIA SEED
KWA WATOTO
i.
Unaweza
kusaga mbegu hizi
pamoja na unga
mwingine wa lishe
ya kutengenezea uji
kwa ajili ya
mtoto wako AU
ii.
Unaweza kumchanganyia mtoto kwenye
uji, juisi au maziwa.
JINSI YA
KUZIPATA CHIWA SEED
Kupata
Chiwa Seed fika
katika duka la
kuuza dawa la
Neema Herbalist.
Tunapatikana UBUNGO nyuma
ya jengo la
UBUNGO PLAZA jirani
na SHULE YA
MSINGI UBUNGO NATIONAL
HOUSING.
Kwa
mteja asie weza
kufika ofisini tunayo
huduma ya kuwapelekea
dawa mahali walipo
na kwa wateja
waliopo nje ya
Dar Es Salaam
tunawasafirishia dawa kwa
mabus mbalimbali au
boti kwa wateja
waliopo Zanzibar.
WASILIANA
NASI KWA SIMU
NAMBA 0766 53 83 84 AU 0693 005 189
Comments
Post a Comment