Watalaam wa masuala ya utafiti wamekuwa wakijita kufanya tafiti mbalimbali Duniani kote leo May 18, 2018 nakusogezea utafaiti unaosema Wanaume ambao wana wachumba wanene huishi maisha marefu na yenye furaha ikilinganishwa na wale wembamba.
Hii ni kulingana na utafiti uliofanywa na Dr. Filemon Alvarado na Dr. Edwagardo Morales katika chuo kikuu kimoja nchini Mexico.
Aidha utafiti huo umeonesha kuwa wanawake wanene huwa wana ujasiri na mara nyingi hawakasiriki upesi.
Musyoka John ambaye ana mke ‘mwembamba’ ameeleza kuwa mara nyingi mkewe humhangaisha na hawana uhusiano mzuri katika ndoa yao.
Ameeleza kuwa mkewe anapoamua kufanya jambo ama kukataa, kamwe hawezi kugeuza msimamo wake.
CREDIT : MILLARD AYO BLOG
Comments
Post a Comment