Wanaume wanao jihusisha na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu husalia kuwa na maumbile ya kiume yaliyo sinyaa na kudumaa. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, kufanya punyeto kwa muda mrefu huathiri na kuharibu mishipa na misuli ya uume na hivyo kusababisha kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ateri na hivyo kuzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka pamoja na damu kutiririka kwenda kwenye misuli ya uume. Mambo hayo mawili yanapotokea huathiri uzalishaji wa homoni muhimu zinazo husika na ukuaji wa misuli ya uume, na hatimaye hufanya uume wa mhusika kudumaa, kusinyaa, kunywea na kurudi ndani kiasi cha kuufanya uonekane kama wa mtoto. Homoni hizo hujulikana kitaalamu kama HGH na huzalishwa kwenye ini. Sababu nyingine inayo tajwa na wataalamu ni kwamba, mtu anaye fanya punyeto hutumia akili, nguvu na nishat