Tunapenda kuwafahamisha wateja wetu wapendwa kuwa, mzigo mpya wa dawa mbalimbali za asili umeingia. Dawa zilizopo ni pamoja na : 1. Dawa asilia ya kuunganisha mifupa, pingili na kukomaza mifupa. 2. Dawa asilia ya kuondoa maumivu ya misuli, kurekebisha mishipa na misuli 3. Dawa asilia kwa wagonjwa wa kiharusi (Kupooza) 4. Dawa asilia ya kutibu majeraha 5. Dawa asilia ya kutibu vidonda ndugu 6. Dawa asilia ya kuondoa uchovu na kuwashwa 7. Dawa asilia ya kuondoa mafuta kwenye damu ( kolestrol /lehemu) 8. Dawa asilia ya kutibu tatizo la nyongo 9. Dawa asilia ya kutibu gauti 10. Dawa asilia ya uzazi wa mpango 11.