Lishe ya kuongeza na kunenepesha mwili ni lishe maalumu kwa ajili ya mtu anaye taka kuongeza ama kunenepesha mwili wake kwa kutumia lishe pekee bila kulazimika kutumia dawa za kuongeza ukubwa wa maumbile zenye kemikali na side effects mbalimbali. Lishe huongeza na kunenepesha maeneo mbalimbali ya mwili wa mtumiaji na kumuongezea mvuto wake. Ifuatayo ni namna na jinsi ya kuandaa na kutayarisha lishe ya kuongeza na kunenepesha mwili. MAHITAJI : i. Dawa...