MAZIWA FRESH Dawa-lishe ya kuongeza, kurutubisha na kunenepesha mwili, ni dawa maalumu kwa watu wenye uzito wa chini ( Under weight ) ambao wanataka kuongeza mwili na uzito. ASALI YA TENDE Dawa hii huwasaidia watu ambao miili yao imedhoofu kutokana na sababu mbalimbali kama vile kuugua magonjwa na maradhi mbalimbali. Na kwa wale watu wembamba ambao wanataka kuongeza miili yao, dawa hii huwasaidia vizuri sana. FAHAMU JINSI NA NAMNA YA KUANDAA NA KUTAYARISHA DAWA-LISHE MAALUMU YA KUONGEZA, KURUTUBISHA ...