Tunapenda kuwafahamisha wateja wetu wapendwa kuwa, mzigo mpya wa dawa mbalimbali za asili umeingia. Dawa zilizopo ni pamoja na : 1. Dawa asilia ya kuunganisha mifupa, pingili na kukomaza mifupa. 2. Dawa asilia ya kuondoa maumivu ya misuli, kurekebisha mishipa na misuli 3. Dawa asilia kwa wagonjwa wa kiha...