Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ? Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu HATUA MBILI MUHIMU KATIKA KUSIMAMA KWA UUME Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbili kama ifuatavyo : Hatua ya kwanza , ni lazima uume wake uweze kusimama barabara na ...