Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2024
  UJUE UHUSIANO KATI YA DAMU NA TATIZO LA UKOSEFU NA/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya DAMU na tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume.   Kujua zaidi kuhusu uhusiano uliopo kati ya DAMU na tatizo la ukosefu/ama upungufu wa nguvu za kiume, tembelea :   https://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.html

UHUSIANO KATI YA PUNYETO NA KUSINYAA/ KUDUMAA KWA MAUMBILE YA KIUME

  Wanaume  wanao  jihusisha  na  upigaji  wa  punyeto  kwa  muda  mrefu  husalia  kuwa  na  maumbile  ya  kiume  yaliyo  sinyaa  na  kudumaa.   Kwa mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu  huathiri  na  kuharibu  mishipa  na  misuli  ya  uume na  hivyo kusababisha  kujengeka  kwa  mafuta na  tishu  zisizo vutika  kwenye  mishipa  ya  ateri na  hivyo  kuzuia  mishipa ya  ateri  kupanuka na  kuongezeka  pamoja  na  damu  kutiririka  kwenda  kwenye  misuli  ya  uume.   Mambo  hayo  mawili yanapotokea  huathiri  uz...

WASAIDIZI WA KAZI ZA NYUMBANI WANAPATIKANA

  WASAIDIZI WA KAZI ZA NYUBANI WANAPATIKANA : Neema Herbalist & Nutritional Foods Services , tunapenda   kukutaarifu wewe mteja wetu wa thamani   kwamba sasa tunao vijana wa kike na kiume ambao wapo tayari kwa majukumu ya kazi za nyumbani. SIFA ZAO: i.                    Wamemaliza fom 4 kati ya mwaka 2022 na2023. ii.                 Wote wanaishi ndani ya mkoa wa Dar Es Salaam. SIFA ZA ZIADA   Tumewapatia mafunzo maalumu kuhusu jinsi ya kupika vyakula maalumu ( special –diet)   kwa watu wenye mahitaji maalumu ya kiafya kama vile :     i.                    Lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la presha &kisukari. ii.          ...