NAFASI ZA KAZI YA UWAKALA WA USAMBAZAJI VITABU Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa za asili kutoka Tanzania. Pia ni waratibu wa Mradi wa Vitabu Vya Elimu Ya Tiba Mbadala . “ MRAVIETI”. Mradi uliolenga katika kutoa elimu ya tiba ya ya asili kwa njia ya vitabu kuhusu magonjwa mbalimbali yanayo wakabili wanadamu. Kupitia Mradi huu, tunatangaza nafasi za kazi ya uwakala wa usambazaji vitabu vyetu katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. SIFA ZA ...