Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2012

NEW SLIMMING HERBAL PRODUCT IS ON STORE NOW.

DAWA  MPYA  YA  ASILI   YA  KUKATA  KITAMBI    "  THE  NEW   SLIMMING  HERBAL   PRODUCT " Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic   ni  wauzaji  wa  dawa  mbalimbali  za  asilia.  Tunapenda  kuwatangazia  wateja  weta  wetu   wapendwa  sasa  tunayo   dawa  mpya  safi  na  ya  asili  ya  kukata  kitambi.  Ni  dawa  ya  asili  kabisa " pure  herbal "   isiyokuwa  na  " side  effect" . Imesindikwa  kwa  asali  na  mafuta  ya  nyonyo  meupe  " castle oil " ..  Haijachanganywa  na  kemikali  yoyote  na  inaondoa  kabisa  tatizo  la  kitambi  ndani  ya  siku  ishirini  na...

FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU.

Tunda  la  Ukwaju. Tunda  la ukwaju  ni  tunda  lenye  faida  nyingi  sana  kwa  afya  ya  mwanadamu. Tunda  hili  huweza  kutumika  kutengeneza  juisi  ambayo  matumizi  yake   yana  faida  kubwa  sana  katika  afya  ya  mwili  wa  mwanadamu. Juisi  ya  Ukwaju.                     NAMNA  YA  KUTENGENEZA  JUISI  YA  UKWAJU. Nunua  ukwaju  wako, ukwaju  unapatikana  kwa  wingi  sana  masokoni  na kwenye  supermarkets andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu  baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni  uache uchemke  kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu  ipua ukwaju wa...

MAZOEZI NA KISUKARI

MAKALA  HII  NI  MAALUMU  KWA  WANAO  SUMBULIWA  NA   TATIZO  LA  KISUKARI. Kwa vyovyote vile utakuwa umewahi kuusikia au hata kupata uzoefu kuhusu ugonjwa wa kisukari. Eidha kwa kuwa na ndugu, rafiki wa karibu au wewe mwenyewe kuwa mwathirika wa tatizo hili. Tatizo la kisukari linaongezeka siku hadi siku, hususani kutokana na kuongezeka kwa tatizo la unene. Sababu kubwa si ngumu kuifahamu, ni ulaji wa chakula unaozidi mahitaji ya miili yetu. Kwa lugha rahisi tunaweza kusema, kula chakula bila kufanya mazoezi. Ziko aina kuu mbili za ugonjwa wa kisukari. Ule unaotokea kwa sababu ya upungufu wa homoni ya insulin mwilini ( Type 1 diabetes), na ule unaotokana na homoni ya insulin kutokufanya kazi, japo kuwa inatengenezwa kwa kiwango hata zaidi ya kawaida, (Type 2 diabetes) . Asilimia 90 ya wagonjwa wa kisukari wana kisukari cha aina ya pili(type 2 diabetes). Hivyo basi maelezo mengi yatakayoandikwa hapa yatahusiana na kisu...

SLIMMING SYRUP IMERUDI TENA.

Tunapenda   kuwatangazia  wateja  wetu  wapendwa  kwamba , sasa  tunayo  SLIMMING  SYRUP  ya  kukata  kitambi, ni  " pure  herbal "  , haina  kemikali  yoyote  na  inaondoa  kabisa  tatizp  la  kitambi  ndani  ya  siku  thelathini, unaanza  kuyaona  matokeo  ndani  ya  siku   kumi  na  nne. Wengi  imewasaidia. Jaribu  na  wewe  ikusaidie.