Neema Herbalist & Nutritional Foods Clini c inapenda kuwatangazia watanzania wote kuwa , tumetoa toleo la pili la kitabu chetu kinacho husu NAMNA YA KUONDOA KITAMBI KWA NJIA ZA ASILI. Jina La Kitabu : ONDOA KITAMBI KWA SIKU KUMI NA NNE. Jina la Mwandishi : Neema SOLOZI. Bei Ya Kitabu : Shilingi ELFU SITA TU ( Tshs. 6,000/=) Utaletewa popote ulipo jijini Dar Es salaam. Gharama ya kukuletea hadi ulipo ni shilingi ELFU MBILI TU ( Tsh. 2,000/=). WASILIANA NASI KWA SIMU 0767010756 KWA WANAO TAKA KUNUNUA KWA BEI YA ...