Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic inapenda kuwatangazia watanzania wote kuwa , tumetoa toleo la pili la kitabu chetu kinacho husu NAMNA YA KUONDOA KITAMBI KWA NJIA ZA ASILI.
Jina La Kitabu : ONDOA KITAMBI KWA SIKU KUMI NA NNE.
Jina la Mwandishi : Neema SOLOZI.
Bei Ya Kitabu : Shilingi ELFU SITA TU ( Tshs. 6,000/=)
Utaletewa popote ulipo jijini Dar Es salaam. Gharama ya kukuletea hadi ulipo ni shilingi ELFU MBILI TU ( Tsh. 2,000/=).
WASILIANA NASI KWA SIMU 0767010756
KWA WANAO TAKA KUNUNUA KWA BEI YA JUMLA KWA AJILI YA KUKISAMBAZA, WASILIANA NASI KWA SIMU 0766538384.
KWA WAKAAZI WA MIKOA MINGINE ILIYO BAKI:
Utatumiwa kitabu kwa njia ya gari, gharama ya kukutumia kitabu ni SHILINGI ELFU TANO TU.
KWA WASAMBAZAJI WA LIOPO NJE YA DAR ES SALAAM, WASILIANA NASI KWA SIMU 0766538384.
Kwa maelezo zaidi, endelea kutembelea hapa hapa : www.neemaherbalist.blogspot.com
Comments
Post a Comment