Asali ya Tende Kama umekonda na kudhoofika mwili kutokana na sababu mbalimbali kama vile kuugua magonjwa na maradhi mbalimbali au kupatwa na msongo mawazo, basi fuata maelekezo yafuatayo ili upate kujua namna ya kuandaa na kutayarishe lishe maalumu ya asili itakayo kusaidia kunenepa na kurejesha afya ya mwili wako katika hali yake ya kawaida. Asali ya Tende: Habari njema kwa wateja wetu ni kwamba, asali ya tende sasa inapatikana moja kwa moja dukani kwetu. MAHITAJI: 1. Dawa Lishe ya kuongeza na ...