Kama umekonda
na kudhoofika mwili
kutokana na sababu
mbalimbali kama vile kuugua
magonjwa na maradhi
mbalimbali au kupatwa
na msongo mawazo, basi
fuata maelekezo yafuatayo
ili upate kujua
namna ya kuandaa
na kutayarishe lishe
maalumu ya asili
itakayo kusaidia kunenepa na
kurejesha afya ya
mwili wako katika
hali yake ya
kawaida.
Asali ya Tende: Habari njema kwa wateja wetu ni kwamba, asali ya tende sasa inapatikana moja kwa moja dukani kwetu. |
MAHITAJI:
1. Dawa Lishe
ya kuongeza na
kunenepesha mwili
2. Asali ya
tende
3. Ufuta
4. Ukwaju
5. Kitunguu
swaumu
6. Giligiliani
7. Juisi
ya Komamanga na Asali
MATAYARISHO
NA MATUMIZI
Matumizi
ya lishe hii, yame
gawanyika katika awamu
kuu mbili. Awamu ya
kwanza, itachukua siku
thelathini na awamu
ya pili itachukua
siku thelathini pia.
Katika awamu ya
kwanza , mgonjwa atatumia DAWA
LISHE YA KUNENEPESHA
MWILI, ASALI YA TENDE
NA UFUTA na
awamu ya pili, mgonjwa
atatumia UKWAJU, KITUNGUU SWAUMU, GILIGILIANI na
JUISI YA KOMAMANGA
& ASALI kwa kufuata
utaratibu utakao elezwa
hapo chini.
AWAMU YA KWANZA
SIKU THELATHINI
ZA KWANZA
Mahitaji
1. Dawa lishe
ya kuongeza na
kunenepesha mwili
2. Ufuta
3. Asali ya
Tende ( Dates
Syrup )
MATAYARISHO
, MAELEKEZO NA
MATUMIZI
1.
Dawa –Lishe
ya
Kunenepesha Mwili
Chukua
vijiko vitatu vikubwa vyenye dawa yako,
kisha changanya na maji nusu lita halafu
chemsha hadi itokote, Ikiisha tokota, ipua acha
ipoe kidogo kisha tumia kunywa pamoja na
machicha yake. Utafanya hivyo mara mbili
kwa siku asubuhi na jioni kwa muda wa siku thelathini.
2. Ufuta
: Matayarisho : Chukua vijiko vikubwa vinane
vyenye ufuta, kisha changanya na lita moja
na nusu ya maji. Kama hauna tatizo na
sukari, unaweza kuongeza na sukari kiasi ili
kuipa ladha. Ikisha tokota, ipua iache ipoe
kiasi kisha tumia kula ufuta wote pamoja
na supu yake ama juisi yake. Utafanya hivyo
mara mbili kwa siku asubuhi na jioni
kwa muda wa siku thelathini.
(N.B:
KAMA UNA NAFASI, BADALA YA KUTUMIA
VIJIKO VINANE TU VYA UFUTA KWENYE LITA MOJA
NA NUSU YA MAJI, WEWE TUMIA ROBO KILO
YA UFUTA KWENYE LITA TATU YA MAJI,
CHEMSHA HADI ITOKOTE, IACHE IPOE, KISHA
TUMIA KULA . FANYA HIVYO MARA MBILI KWA
SIKU ASUBUHI NA JIONI KWA MUDA WA SIKU
THELATHINI )
2.
ASALI YA
TENDE
3.
Tumia kula
vijiko vikubwa vinne vya
tende mara mbili kwa
siku asubuhi na
usiku kwa muda
wa siku thelathini. Yaani asubuhi
kula vijiko vikubwa vinne
na usiku kula
vijiko vikubwa vinne vya
asali ya tende.
(
HABARI NJEMA KWA
WATEJA WETU NI
KWAMBA, ASALI YA TENDE
SASA INAPATIKANA MOJA
KWA MOJA DUKANI KWETU . UTAPATIWA DAWA
LISHE PAMOJA NA
ASALI YA TENDE
UTAKAYO ITUMIA KWA
MUDA WA SIKU
THELATHINI KWA UTARATIBU
WA MAELEKEZO HAYO
HAPO JUU )
AWAMU YA PILI
Awamu ya
pili ya lishe
hii, itaanza baada ya
kukamilika kwa siku
thelathini za kutumia
dawa lishe, ufuta pamoja
na asali ya
tende. Kama ilivyo kuwa
kwa awamu ya
kwanza, awamu ya pili
pia itachukua muda
wa siku thelathini
MAHITAJI,
MATAYARISHO NA
MATUMIZI
1.
UKWAJU
Matayarisho na
Maandalizi
Chukua ukwaju kiasi
cha robo kilo , weka kwenye
maji kiasi cha
lita moja, ongeza pilipili manga kiasi cha kijiko kimoja kidogo ( tea spoon ) halafu ongeza sukari vijiko
vitatu vikubwa, ongeza karafuu ya
unga kijiko kimoja kidogo, pamoja na hiriki vijiko vikubwa
viwili.
Ukisha fanya
hivyo, chemsha hadi mchanganyiko
wako utokote. Ukisha tokota, ipua
na kuchuja kisha weka
kwenye chombo kisafi.
MATUMIZI
:
Tumia kunywa
mchanganyiko huu kila siku
asubuhi baada ya
kunywa chai. Utafanya hivyo
kwa muda wa
siku thelathini mfululizo.
2.
JUISI YA KOMAMANGA
NA ASALI
Matayarisho na Matumizi
Tayarisha juisi
ya komamanga kiasi
cha nusu lita, changanya na asali ya
kawaida vijiko vikubwa vinane, kisha
ongeza chumvi kijiko kidogo( tea
spoon)
Koroga mchanganyiko
wako halafu tumia
kunywa. Utafanya hivyo mara
moja kwa siku kwa
muda wa siku thelathini.
Matunda ya makomamanga yanapatikana
masokoni, ingawa mara nyingi
hupatikana kwa uchache. Kama
utabahatika kupata matunda mengi, basi
unashauriwa kuyachukua kwa
wingi na kuyahifadhi, sehemu salama ili usipate usumbufu
wakati wa kutumia
tiba yako.
Mbali na
kutumika katika lishe ya kuongeza
na kunenepesha mwili,
tunda la
komamanga, linasaidia
kuondoa harufu mbaya
ya kinywa. Kwa kuondoa
harufu mbaya ya
kinywa, kula walau tunda
moja la komamanga
kwa siku kwa
muda wa siku
thelathini mfululizo.
Utapata matokeo mazuri . ( HII ITAWASAIDIA
ZAIDI WALE AMBAO
TATIZO LAO LA
KUTOKWA NA HARUFU
MBAYA YA KINYWA
LIMEANZIA KINYWANI NA
SIO TUMBONI
ALTERNATIVE
(MBADALA ) WA JUISI YA
KOMAMANGA ILIYO UNGWA
NA ASALI.
Kama
utashindwa kupata makoma manga, basi utafanya
kama ifuatavyo :
KITUNGUU SWAUMU
Chukua
punje nne za
vitunguu swaumu, zitwange kisha tia
kwenye maji nusu lita halafu
ongeza juisi ya
ndimu moja au
limao moja kisha chemsha hadi mchanganyiko wako
uchemke.
Matumizi : Tumia hivyo
kila siku usiku baada
ya kula chakula cha
usiku. Utafanya hivyo kwa
muda wa siku
thelathini mfululizo.
AU
Vile
vile , mbadala mwingine wa kutumia
juisi ya komamanga iliyo
changanywa na asali, unaweza kutumia
JUISI YA GILIGILIANI
kwa kufuata utaratibu
ufuatao :
JUISI YA GILIGILIANI
MATAYARISHO NA MATUMIZI YA
JUISI YA GILI GILIANI
Chukua
giligiliani fresh, kisha zi -blend (
ZISAGE ) ili kupata juice
yake kiasi cha
robo lita.
Ndani
ya juisi yako
ya giligiliani, kamuliamo ndimu
fresh moja, halafu ongeza chumvi
kiasi robo kijiko kidogo ( tea spoon), koroga kisha
tumia kunywa. Utakunywa
usiku baada ya
kula chakula cha
usiku. Utafanya hivyo mara moja
kwa siku kwa
muda wa siku
thelathini mfululizo.
PIA
: Jenga utaratibu
wa kuwa unakula
giligiliani kwa wingi.
Hakikisha katika kila
mlo wako, inakuwepo mboga
ya giligiliani pembeni.
VITU VINGINE
VYA KUZINGATIA..
Pamoja
na kutumia lishe hii
ya asili kwa
kufuata utaratibu huo
hapo juu, unashauriwa kuzingatia
matumizi ya vyakula
vifuatavyo:
TANGAWIZI
Jenga tabia
ya kuwa una tumia
tangawizi, kila mara upatapo
nafasi. Utaratibu wa
jinsi ya kutayarisha
tangawizi ni kama ifuatavyo :
Chukua kipande
kimoja cha tangawizi,
kisha kitwange halafu ongeza
vikombe viwili vya maji
vyenye ujazo wa
milimita mia mbili
na hamsini ( 250 mills). Chemsha
pamoja kisha ongeza maziwa
kiasi cha robo lita na sukari
ili kupata ladha. Fanya
hivi kila mara
uapatapo nafasi. Ukiweza
kufanya hivyo walau mara
mbili kwa siku, itakuwa
vizuri zaidi.
AU chukua
kipande kimoja cha
tangawizi, kitwange kisha chemsha pamoja na
chumvi nusu kijiko kidogo
kwenye maji kiasi cha
nusu lita halafu tumia
kunywa kikombe kimoja
nusu saa kabla
ya kula chakula chako
cha asubuhi, mchana na usiku.
HIRIKI
Jenga
utaratibu wa kuwa
unakunywa mara kwa
mara chai iliyo
changanywa na hiriki.
MACHUNGWA
Jenga
utaratibu wa kuwa
unakula machungwa kwa wingi,
kwa kadri utakavyo weza. Unashauriwa kuwa
unachanganya na chumvi kidogo
pamoja na pilipili
manga.
KWA MAHITAJI
YAKO YA DAWA-LISHE
YA KUNENEPESHA & KUONGEZA MWILI
PAMOJA NA ASALI
YA TENDE.
Kwa mahitaji
yako ya DAWA-LISHE ya
kuongeza & kunenepesha mwili,
pamoja na asali
ya tende, fika katika
duka la NEEMA
HERBALIST.
Tunapatikana
UBUNGO
jijini DAR ES
SALAAM, jirani na SHULE
YA MSINGI UBUNGO
NATIONAL HOUSING nyuma
ya jengo la
UBUNGO PLAZA.
WASILIANA NASI
KWA SIMU NAMBA
0766 53 83 84.
Kwa
wateja wetu waliopo
jijini Dar Es
Salaam, ambao hawana nafasi
ya kufika dukani
kwetu Ubungo, tunayo huduma
ya kuwapelekea dawa
mahali walipo ( HOME &
OFFICE DELIVERY )
Kwa
wateja waliopo nje
ya mkoa wa
Dar Es Salaam,
watatumiwa dawa kwa
kutumia mabasi mbalimbali.
Kwa wateja
waliopo Zanzibar, watatumiwa dawa
kwa njia ya
usafiri wa boti.
Kwa wateja
waliopo ughaibuni,
watatumiwa dawa kwa
njia ya POSTA
au DHL.
Na
kwa taarifa zaidi
kuhusu huduma zetu, tutembelee kila
siku katika blogu
yetu :
Comments
Post a Comment