Kuna idadi kubwa ya watu ambao wana kabiliwa na tatizo la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, kuwa na uzito mdogo kupita kiasi ni jambo linalo weza kuhatarisha afya ya mhusika. Kama ilivyo kwa suala la kuwa na uzito mkubwa kupita kiasi, suala la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi pia lina madhara mengi katika afya ya binadamu. MADHARA YA KUWA NA UZITO MDOGO KUPITA KIASI ( KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI ) Kwa mujibu wa ...