Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2020

MFAHAMISHE NDUGU,JAMAA AU RAFIKI YAKO MWENYE TATIZO LA SUKARI YA KUPANDA

  MFAHAMISHE  NDUGU,JAMAA  AU  RAFIKI   YAKO  MWENYE  TATIZO  LA  SUKARI  YA KUPANDA  Kwamba  tatizo  la  SUKARI YA   KUPANDA  lisipo  TIBIWA  na  KUDHIBITIWA   mapema  linaweza  kumuweka  mgonjwa  katika  hatari  ya  kupatwa  na  magonjwa  tishio  kwa  maisha  kama   vile   presha  ya  kupanda, matatizo  kwenye figo, kiharusi (stroke)   na  magonjwa  mengineyo  ya  moyo . Kwa  hivyo basi  kama   amepima na kugundulika kwamba   ana   tatizo   la   SUKARI YA   KUPADA   basi   mhusika   anashauri...