Skip to main content

MFAHAMISHE NDUGU,JAMAA AU RAFIKI YAKO MWENYE TATIZO LA SUKARI YA KUPANDA

 




MFAHAMISHE  NDUGU,JAMAA  AU  RAFIKI  

YAKO  MWENYE  TATIZO  LA  SUKARI  YA

KUPANDA

 Kwamba  tatizo  la  SUKARI YA   KUPANDA  lisipo  TIBIWA  na  KUDHIBITIWA  

mapema  linaweza  kumuweka  mgonjwa  katika  hatari  ya  kupatwa  na  magonjwa  tishio  kwa  maisha  kama  

vile  presha  ya  kupanda, matatizo  kwenye figo, kiharusi (stroke)   na  magonjwa  mengineyo  ya  moyo.

Kwa  hivyo basi  kama  amepima na kugundulika kwamba  ana  tatizo  la  SUKARI YA  KUPADA  basi  mhusika  anashauriwa    KULIDHIBITI tatizo lake mapema iwezekanavyo.  

Habari   njema kwake ni  kwamba   ipo dawa nzuri  ya ASILI  ambayo   INA TIBU  na   KUDHIBITI  KABISA  tatizo  la  SUKARI  YA  KUPANDA  ndani  ya  SIKU  ISHIRINI  NA  

MOJA  ( 21 ) .  

Dawa  hii  ya  asili :

1.        INASHUSHA  SUKARI ILIYOPANDA

2.       Ina BALANCE  na  KUDHIBITI KUONGEZEKA  KWA  SUKARI  KWENYE  DAMU

3.       Ina  SAFISHA  SUKARI  KWENYE  DAMU  NA  

MKOJO  wa  mgonjwa  wa  SUKARI

4.         Ina  ondoa    SUMU na LEHEMU  MBAYA  (KOLESTROL ) kwenye  damu.   

Ni dawa  ambayo  imewasaidia watu  wengi.  Zipo  nyingi  za  watu  walio  tumia  dawa  hii  na kupata  matokeo  mazuri  sana.  Wewe pia  unaweza  kuwa  miongoni  mwa  watu  watakao  shuhudia  kwa  watu wengine  mara  baada  ya  kutumia  dawa  hii. 

  Tatizo  la sukari  ya  kupanda ni  tatizo  linalo weza  kudhitiwa  kwa  tiba  za  asili.  


Kwa  uhitaji  wa  tiba  hii wasiliana  nasi  kupitia  namba  zetu  za  simu  :  0766  53  83  84  au  0693  005 189.

 

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA