Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2024

JE WAJUA KWANINI WANAWAKE WENGI WANAO JIHUSISHA NA UVUTAJI WA BANGI HUWA WANASUMBULIWA NA SUALA LA UZAZI?

Majibu kuhusu swali hili ambalo limekuwa likiulizwa na watu wengi sana yatakujia hivi karibuni kupitia hapahapa  NEEMA HERBALIST BLOG, ila  habari njema  kwako wewe mwanamke unae sumbuliwa na tatizo la uzazi ni kwamba ile dawa yetu ya uzazi sasa huu ndio msimu wake, inapatikana kwa uchache. Kama mnakumbuka  kwenye makala yetu kuhusu tatizo la uzazi iliyo toka mapema mwaka 2019 tulisema  kwamba  mti wa dawa  hii ya uzazi  huvunwa kila baada ya miaka  mitano.  Toka mwaka 2019 hadi 2024 ni miaka mitano sasa imefika, kwa hiyo tumeanza tena  kutoa huduma maalumu ya tatizo la uzazi kwa wanawake wachache wenye tatizo la uzazi ambao watajaaliwa kupata tiba hii mapema. Ninasema hivyo kwa sababu  kiwango cha dawa iliyopo ni kidogo ikilinganishwa na uhitaji wa watu.  Kwa wewe muhitaji wa dawa hii ya uzazi, wasiliana nasi mapema kupitia namba zetu za simu: 0766 53 83 84  AU 0693  005 189.

JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA LISHE MAALUMU KWA AJILI YA KUTIBU NA KUPONYESHA KAB ISA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

                                                                                 MAHITAJI:   1.    Uji Dume 2.    Dawa asili ya Jiko   Uji Dume ni nini ? Uji   Dume ni uji maalumu unao tumika pamoja na dawa asilia iitwayo Jiko. Dawa asilia iitwayo jiko kama mjuavyo   watu wengi, ni dawa ya   asili ambayo ina tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.   Uji   Dume unatengenezwa   kwa mchanganyiko wa nafaka za aina saba pamoja na ya aina tatu. Vyote kwa pamoja husagwa kupata unga   ambao ndio hutumika kupikia uji huu ambao   hutumika pamoja na dawa asilia   ya   jiko   katika kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la uksoefu wa nguvu za kiume.   MAANDALIZI...