Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2025

KWANINI ZAMANI ILIKUWA MTU AKIPATA MKE WANASEMA AMEPATA JIKO

  Enzi za mabibi na mababu zetu, wanawake walipokuwa wakipelekwa UNYAGONI, moja kati ya mambo waliyo kuwa wakifundishwa ni pamoja na jinsi ya kuandaa na kutayarisha vyakula maalumu kwa ajili ya kuwaongezea waume zao stamina na msisimko wa tendo la ndoa.  Hii ndio sababu hapo zamani, mtu alikuwa akipata mke, watu walisema " Fulani amepata Jiko" . Mke aliitwa " Jiko" kwa sababu Jikoni ndiko ambapo " Uhai wa ndoa" Ulipikwa. Na hii ndio sababu hasa ilitufanya tuiite dawa yetu ya asili inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume jina " Jiko". Siku hizi elimu ya mapishi ya vyakula maalumu kwa ajili ya kuimarisha stamina na msisimko wa nguvu za kiume haitolewi tena kama zamani.  Ndio maana Sisi kama Neema Herbalist huwa tunawapa elimu hiyo wateja wetu wa dawa ya jiko.  Mbali na kuwapa dawa yetu ya asili iitwayo " Jiko"  pamoja na UJI wake maalumu ujilikanao kama " UJI -DUME", lakini pia sisi tunawa...