Enzi za mabibi na mababu zetu, wanawake walipokuwa wakipelekwa UNYAGONI, moja kati ya mambo waliyo kuwa wakifundishwa ni pamoja na jinsi ya kuandaa na kutayarisha
vyakula maalumu kwa ajili ya kuwaongezea waume zao stamina na msisimko wa tendo la ndoa.
Hii ndio sababu hapo zamani, mtu alikuwa akipata mke, watu walisema " Fulani amepata Jiko" . Mke aliitwa " Jiko" kwa sababu Jikoni ndiko ambapo " Uhai wa ndoa" Ulipikwa. Na hii ndio sababu hasa ilitufanya tuiite dawa yetu ya asili inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume jina " Jiko".
Siku hizi elimu ya mapishi ya vyakula maalumu kwa ajili ya kuimarisha stamina na msisimko wa nguvu za kiume haitolewi tena kama zamani.
Ndio maana Sisi kama Neema Herbalist huwa tunawapa elimu hiyo wateja wetu wa dawa ya jiko.
Mbali na kuwapa dawa yetu ya asili iitwayo " Jiko" pamoja na UJI wake maalumu ujilikanao kama " UJI -DUME", lakini pia sisi tunawapatia wateja wetu maelekezo kuhusu namna ya kuandaa vyakula maalumu kwa wanaume wenye shida ya nguvu. Vyakula ambavyo ni muhimu na lazima kwa mwanaume yoyote yule bila kujalisha kama ana tatizo la nguvu za kiume au hana tatizo la nguvu za kiume. Mwanaume anashauriwa kula vyakula hivyo walau mara moja kwa mwezi.
Pichani ni Mama lishe kutoka jijini Dar Es Salaam, ambae amekuja kwetu Neema Herbalist kwa ajili ya kujifunza jinsi ta kuandaa na kutayarisha lishe maalumu ya kuongeza stamina ya tendo la ndoa kwa wanaume kwa ajili ya wateja wake.
Kwa wewe mwanaume ambae una hitaji dawa yetu ya jiko pamoja na UJI wake maalumu ( UJI DUME), wasiliana nasi kupitia namba zetu za simu :
VODA KAWAIDA : 0766 53 83 84.
AIRTEL KAWAIDA : 0693 005 189
AU WHATSAPP: 0745 433 595
Comments
Post a Comment