Skip to main content

NAFASI ZA KAZI YA UWAKALA WA USAMBAZAJI VITABU


NAFASI   ZA   KAZI  YA  UWAKALA  WA  USAMBAZAJI  VITABU

Neema  Herbalist &  Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji  wa  dawa  za  asili  kutoka  Tanzania.  Pia  ni  waratibu  wa  Mradi  wa  Vitabu  Vya   Elimu  Ya  Tiba  Mbadala. “ MRAVIETI”.   Mradi  uliolenga  katika  kutoa  elimu  ya  tiba   ya   ya  asili  kwa  njia  ya  vitabu  kuhusu  magonjwa  mbalimbali  yanayo  wakabili  wanadamu.
Kupitia  Mradi  huu, tunatangaza  nafasi  za  kazi   ya  uwakala  wa  usambazaji  vitabu  vyetu  katika  maeneo  mbalimbali  nchini  Tanzania.

SIFA  ZA  MWOMBAJI
1.       Umri    miaka   18  hadi  45.
2.       Elimu  kuanzia  kidato  cha  nne,  sita  na  kuendelea.
3.       Awe   raia  wa  Tanzania.
4.       Uwezo  wa  kuwasiliana  kwa  ufasaha  kwa  lugha  za  Kiswahili  na  kiingereza.
5.       Awe  maridadi  na  anaye  jituma  sana  kazini.
6.       Akiwa  na  uzoefu  na  masuala  ya  usambazaji  vitabu  itakuwa  ni  sifa  ya  ziada  itakayo  muongezea  nafasi  ya  kupata  kazi  katika  mradi  huu.
Tuma  barua  yako  ya  maombi   ukiambatanisha  na  CV  yako  kwenda  kwa :
Managing  Director,
Neema  Herbalist  &  Nutritional  Foods  Clinic
P.O.Box  35967
Changanyikeni  Street,
Dar   Es  Salaam.
Au  kwa  njia  ya    barua  pepe   kwenda : neemaherbalist@gmail.com

Mwisho  wa  kupokea  maombi  ni  tarehe 21 Februari  2012.
Mradi  kuanza   tarehe  01  Machi 2012
Tunapokea   maombi  kutoka  kwa  waombaji  waliopo  katika  wilaya  zote  za  Tanzania  Bara  Na  Visiwani.
Kwa  maelezo  zaidi  tembelea    blogu  yetu :  http://www.neemaherbalist.blogspot.com//
Au  wasiliana  nasi  kwa  simu :

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA