Hatimaye kile kitabu kilicho kuwa kikisubiliwa kwa hamu na mamilioni ya watanzania waliopo ndani na nje ya mipaka ya Tanzania sasa kimeingia mtaani. Uongozi wa Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic idara ya machapisho unapenda kukutaarifu kwamba kitabu chako : " CHANZO, ATHARI, KINGA NA TIBA ASILIA YA UGONJWA WA KITAMB I " sasa kimeingia mitaani, kuanzia leo tarehe 03 Machi 2012. Kitabu hiki kimetolewa chini ya mradi ulioanzishwa na kuratibiwa na Neema Herbalist & Nutrtional Foods Clinic " Mradi wa...