Skip to main content

TANGAZO LA KITABU

Hatimaye  kile  kitabu  kilicho  kuwa  kikisubiliwa  kwa  hamu  na  mamilioni  ya  watanzania  waliopo  ndani  na  nje  ya  mipaka   ya  Tanzania   sasa  kimeingia   mtaani. Uongozi  wa   Neema  Herbalist  &  Nutritional  Foods  Clinic    idara  ya  machapisho   unapenda  kukutaarifu  kwamba   kitabu  chako :  "  CHANZO, ATHARI, KINGA  NA  TIBA  ASILIA  YA  UGONJWA  WA  KITAMBI "  sasa  kimeingia  mitaani, kuanzia  leo  tarehe  03  Machi  2012.  Kitabu  hiki  kimetolewa   chini  ya  mradi  ulioanzishwa  na  kuratibiwa  na  Neema  Herbalist  &  Nutrtional  Foods  Clinic  " Mradi  wa  Elimu  Ya  Vitabu  Vya  Tiba  Mbadala ".

Ndani  ya  kitabu  hiki  utapata  kujifunza  mambo  mengi  muhimu  kama  vile; Chanzo  Cha  Tatizo  la  kitambi,  Athari  za  Tatizo  la  Kitambi, Tiba  asilia   ya  tatizo  la  kitambi, pamoja  na  kinga  ya  tatizo  la  kitambi .. Vil;evile  utapata  kuvijua  vyakula,  vinywaji  na  mitishamba  mbalimbali   inayo  tibu  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  kitambi  kwa  haraka  na  uhakika  bila  kuwa  na  madhara yoyote " side  effects  ".

BEI  YA  KITABU :  Kitabu  hiki  kinauzwa  kwa   shilingi  za
kitanzania  Elfu  Tano  TU ( Tshs  5000/=)
Kwa  wanunuaji  wa  reja reja   , wasiliana  nasi  kwa  simu  namba :
0753644583 AU   0657743183
Kwa  wanunuaji  wa  jumla, wasiliana  nasi   kwa  simu  namba  :0682862744


KARIBUNI  SANA.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...