Skip to main content

HABARI NJEMA KWA WANAWAKE WANAO SUMBULIWA NA UZAZI.

Hakuna  jambo  linalo  vunja  watu  moyo  kama  kutokuwa  na  watoto  licha  ya  kuwa  na  umri  unao  stahili  kuwa  na  watoto.  Kama wewe  ni  mwanamke  una  miaka  theathini  na  tano, upo  katika ndoa  na  kwa  miaka  kumi  na  hauna  hata  mtoto  mmoja  ni  dhahiri  kluwa  jambo  hilo  litakuwa  linakukosesha  sana  raha  moyoni.. Hakuna  mtu mwenye  akili  zake  timamu  asiye  jua  umuhimu  wa  kuwa  na  watoto  wala  usumbufu ama  adha  wanayo  ipata  wanawake  wasio  pata  watoto. Watoto huongeza  furaha  na  upendo  katika  familia. Watoto  hutengeneza  undugu usiokwisha  kati ya  familia  ya  mume  na ile  mke, hivyo basi  kukosekana  kwao  huweza  kujeruhi   ustawi wa  mambo  tajwa  hapo juu. NEEMA  HERBALIST &  NUTRTIONAL  FOODS  CLINIC tunayo  dawa  nzuri  ya asili  inayo  weza  kukusaidia  wewe mwanamke unaye  sumbuliwa  na  tatizo  la uzazi. Ni  dawa  nzuri  ambayo  imewasaidia  watu wengi  sana. Unacho  takiwa  kufanya  ni  kutumia  dawa  yako  huku  ukimuomba  na  kumtumainia  Mungu, kwa  sababu  Mungu  ndio  muweza  wa  kila  kitu.

Kuzaa  na  kuwa  na  watoto ni  amri  ya  Mungu. Kila mtu  aliye  katika  ndoa  ana  haki  ya  kupata watoto  kwa  sababu  Mungu  tayari  alikwisha  amuru  jambo  hilo  toka  zamani.

Kumbuka  Mungu  alipokuumba  alikumbuka  kukupa kila  kitu  cha  muhimu  katika  maisha  yako, alikumbuka  kukupa hadi nyusi  na  kucha  una  dhani  atakuwa amesahau  kukupa  mayai   ya  uzazi! Hapana  hilo haliwezekani  hata kidogo. Jaribu  kutumia  dawa  hii  na  Mungu  atakusaidia  sana  kama  alivyo  wasaidia  wengine  kupitia dawa  hii.

Wasiliana  nasi  kwa  namba  zetu  kama  zinavyo  onekana   hapo  pembeni  au  fika  moja  kwa  moja  katika  ofisi  zetu  zilizopo  katika  eneo  la   Changanyikeni  karibu  na  Chuo Cha  Takwimu.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA