Mdalasini Asali MDALASINI NA ASALI Taswira ya mtu anayesumbuliwa na tatizo la chunusi ambalo linaweza kuondoka kwa kutumia mdalasini kama makala haya yanavyo elekeza. " MDALASINI NA ASALI vinaweza kukufanya uonekane kama picha yenye afya nzuri kama ile ya mwonyeshaji mitindo ya mavazi na muigizaji sinema Jocqol Bell." Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana na magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee. Sasa hivi, utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu kama itachanganywa na mdalasini wa kawaida. Uchunguzi wa kina ufanywao kwa wiki na jarida la World News wa Tiba, wataalamu wa madawa yatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afya na l...