HABARI NJEMA SANA KWA WANAWAKE NA WANAUME WANAOSUMBULIWA NA
TATIZO LA VITAMBI ( MATUMBO MAKUBWA )
Utafiti wetu umegundua kwamba kuna idadi kubwa sana ya
wanawake na wanaume wanao sumbuliwa na tatizo la kuwa na
matumbo makubwa kiasi ama vitambi kwa lugha nyingine. Uchunguzi
wetu umetuwezesha kubaini kuwa katika watu kumi wanao tembea
bararani angalau watatu kati yao wanasumbuliwa na tatizo la
kitambi.
CHANZO CHA TATIZO
Kwa mujibu wa kitabu " CHANZO, ATHARI NA TIBA ASILIA YA TATIZO
LA KITAMBI NA UNENE KUPITA KIASI : Orodha Ya Vyakula, Vinywaji
na Dawa Asilia Zinazotibu Tatizo la Kitambi Na Unene Kupita
Kiasi, kilicho tolewa na kituo cha utafiti na tiba asilia cha
Neema Herbalist cha jijini Dar Es salaam sababu kuu za
tatizo la kitambi ni pamoja na :
1. Ulaji mbovu wa vyakula ( Ulaji usio zingatia mlo kamili ).
Ulaji mbovu wa vyakula unajumuisha ulaji wa vyakula vya aina
moja kwa wingi kupita kiasi bila kuzingatia aina nyinginezo,
mfano ulaji wa vyakula vya mafuta mafuta kwa wingi kupita
kiasi.
2. Unywaji wa pombe kupita kiasi
3. Kutofanya mazoezi ya mwili na viungo pamoja na sababu nyinginezo.
ATHARI ZA TATIZO LA KITAMBI.
Athari za tatizo la kitambi ni pamoja na :
1. Kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa ya hatari
kama vile kisukari, moyo na presha.
2. Kutokuwa na uwezo wa kumudu tendo la ndoa ( kwa wanaume )
3. Kupunguza mvuto wa kimapenzi ( kwa wanawake na hata wanaume pia )
4.Kupoteza fedha na muda mwingi katika kuhangaika kutafuta
tiba ya tatizo pamoja na athari nyinginezo lukuki.
TIBA SAHIHI YA TATIZO.
Neema Herbalist ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili.
Tunayo dawa safai ya asili inayo tibu tatizo la kitambi (
ama tumbo kubwa ) na unene kupita kiasi.
Dawa ni ya asili na haijachanganywa na kemikali yoyote hivyo
haina " side effect " yoyote.
BEI YA DAWA : Dawa hii inapatikana kwa shilingi Elfu Arobaini
Tu za Kitanzania ( Tshs. 40,000/=).
MUDA WA DOZI : Dozi ya dawa hii inatumika kwa muda wa siku
ishirini na moja pekee na inatumika mara moja kwa siku.
MUDA WA KUONA MATOKEO : Mtumiaji wa dawa hii ataona matokeo
kamili baada ya siku kumi na nne tu.
UFANISI WA DAWA : Dawa hii ni thabiti na ya uhakika,
imewasaidia watu wengi.
MAHALI INAPOPATIKANA : Ofisi zetu zipo katika eneo la
Changayikeni karibu na Chuo Cha Takwimu, ukiwa Ubungo panda
gari za Changayikeni, shuka kituo kinaitwa Takwimu ukifika
hapo wasiliana nasi kwa simu atakuja mtu kukuchukua hapo na
kukuleta ofisini kwetu.
MAWASILIANO YETU : Wasiliana nasi kwa simu namba : 0767010756 au
0753644583
EWE BABA , EWE MAMA, USIENDELEE KUSUMBULIWA NA TATIZO LA KITAMBI
AMA/ NA UNENE KUPITA KIASI WAKATI TIBA ASILIA NA RAHISI YA
TATIZO LAKO INAPATIKANA.
tatizo hili tunalo watu wengi sana nauliza je sisi wa mikoani kama kagera na kwingineko tutapataje dawa hii
ReplyDeleteWasiliana nasi kwa namba zetu hapo juu tukupe maelekezo @ babyface.
ReplyDeleteIla hiyo tiba yakuondoa kitambi kwa siku 14 lazima itakua na side effects, nnavojua unene unatakiwa kupunguzwa gradually,.
ReplyDeleteSide effects hazisababishwi na kemikali pekee, vipi baada yakuitumia mtu ataharisha?
Kitaalam mabadiliko yoyote yakufanywa mwilini sio vyema kufanyika kwa haraka. By the way ntafika Ofisini kwenu.