Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2012

TIBA ASILIA YA TATIZO LA UVIMBE WA TUMBONI KWA WANAWAKE ( FIBROID )

Tatizo la  uvimbe  wa  tumboni  kwa  wanawake  " Fibroid " linawasumbua  wanawake wengi nchini.  Tatizo  hili  lina  madhara  makubwa  sana  kwa  wanawake  na  wakati  mwingine  linaweza  kusababisha  muhusika  kuondolewa  kizazi . Mara  nyingi  tatizo  la  fibroid  huondolewa  kwa   operesheni. Hata  hivyo  wapo  wanawake   wengi  tu  ambao  wamepona  tatizo la  fibroid   bila  kufanya  operesheni  eidha  kwa  maombi  kanisani   ama  kwa  kutumia  dawa  za  asili . Neema  Herbalist  tunayo  dawa  ambayo inasaidia  kuondoa  tatizo  la  uvimbe  wa  tumboni  "  fibroid ". Ni  dawa  ya  asili  ambayo  haijachanganywa  na  kemi...

JITIBU MAGONJWA MBALIMBALI KWA MAJI YA MOTO

Glasi  ya  maji  ya  moto. Ifuatayo  ni  orodha  ya  baadhi  ya  magonjwa  yanayo weza  kutibiwa  kwa  maji  ya  moto. - pumu= asthma - shinikizo la damu= hbp - migraine / kichwa= migraine/ headache - ugonjwa wa sukari= diabetes - upungufu wa damu= anemia - maumivu nyuma= back pain - mawe katika figo= urinary calculus - maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection - cholesterol= cholesterol - baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis - kiharusi =stroke - udhaifu wa mwili =sexual and body weakness - kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue - tonsili =tonsillitis - vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus) - mafua/homa =colds, flu & fever - kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep) - kichome kwenye roho= heartburn - kidonda tumboni =stomach ulcer - kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation - kutetem...

TATIZO LA UKOSEFU/ UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME : Chanzo, Athari & Suluhisho Lake.

Wanaume  wengi  wanasumbuliwa  na  tatizo  la  ukosefu/ upungufu  wa  nguvu  za  kiume, hii  ni  kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu. Hapa  kwetu  hususani  katika  maeneo  ya  mijini, katika  kila wanaume  kumi  wanao  tembelea  barabarani angalau  watatu  kati  yao wanakabiliwa  na  tatizo  la  upungufu/ ukosefu  wa  nguvu za  kiume, wamewahi  kukabiliwa  na  tatizo  hilo  ama hawana  uhakika  kama wanazo  nguvu  za  kiume  za  kutosha.   Tunazo  shuhuda  nyingi  sana  za  watu wanao  sumbuliwa  na  tatizo la  nguvu  za  kiume  ambao  wanakuja  kupata  tiba  na  ushauri  kituoni  kwetu  lakini  kwa  sa...

Kolesteroli na namna iwezavyo kudhibitiwa bila dawa:

Karibu nusu ya watu wazima nchini Marekani wanatatizwa na kolesteroli. Kwa kusikia tu sentensi ‘’Una kolesteroli iliyozidi’’ toka kwa daktari kunaweza kumfanya mtu yeyote kuingiwa na hofu. Hata hivyo, linapokuja suala la kuishi, kila mmoja angependa kuishi maisha marefu na yenye furaha na hivyo kolesteroli inaweza kuwa kizingiti kwa hilo. Kolesteroli au helemu ni nini? Ni dhahiri na rahisi kabisa, ni kama nta laini ambayo huelea katika damu na katika seli zako zote za mwili muda wote.  Kwa baadhi ya watu kolesteroli ina mwelekeo wa kujilundika kwenye ateri karibu na moyo au shingoni. Ikiwa mkusanyiko huu wa kolesteroli unaendelea kuwa mwingi kiasi cha kuanza kuzifunga ateri, huweza kusababisha mishtuko au shambulio la moyo (heart attack). Ukweli ni kuwa kolesteroli si mojawapo ya vitu ambavyo watu hupenda kujichunguza. Isitoshe mwili unaitengeneza kila siku ili kwamba unaweza kufurahi kuwa mzima. Ubongo umetengenezwa kwa kolesteroli, homoni zako zimetengenezwa kwa kolestero...