Skip to main content

TATIZO LA UKOSEFU/ UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME : Chanzo, Athari & Suluhisho Lake.

Wanaume  wengi  wanasumbuliwa  na  tatizo  la  ukosefu/ upungufu  wa  nguvu  za  kiume, hii  ni  kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu. Hapa  kwetu  hususani  katika  maeneo  ya  mijini, katika  kila wanaume  kumi  wanao  tembelea  barabarani angalau  watatu  kati  yao wanakabiliwa  na  tatizo  la  upungufu/ ukosefu  wa  nguvu za  kiume, wamewahi  kukabiliwa  na  tatizo  hilo  ama hawana  uhakika  kama wanazo  nguvu  za  kiume  za  kutosha.   Tunazo  shuhuda  nyingi  sana  za  watu wanao  sumbuliwa  na  tatizo la  nguvu  za  kiume  ambao  wanakuja  kupata  tiba  na  ushauri  kituoni  kwetu  lakini  kwa  sababu  za  ki-ethics   hatutoweza  kuzipublish hapa  mtandaoni, ila  kiukweli  tatizo  la  upungufu  ama  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  lisipo tafutiwa  ufumbuzi  wa  kina, linaweza  kuwa  na  athari  kubwa  sana  kwa  muhusika  katika  maisha  yake  yote.

Ukosefu   wa  nguvu  za  kiume  ni  nini?

Ni hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa  kufanya/ kukamilisha  tendo  la ndoa  kwa  ufasaha..

Mwanaume  mwenye  nguvu  za  kiume  ni  yupi?
Mwanaume  mwenye  nguvu  za  kiume  ni  yule  mwenye  uwezo  wa  kufanya/ kukamilisha  tendo  la  ndoa kwa  ufasaha.

CHANZO  CHA  UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME

Kwa  ufupi  sana, hizi  ni  baadhi  ya  sababu  zinazo  sababisha  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  kwa  wanaume.

1. Msongo  wa  mawazo
 2. Ulevi  kupita  kiasi.
3.Kupooza  kwa  mwili
4. Presha  na  ugonjwa  wa  kisukari.
5.Wasiwasi  wa  kutekeleza   tendo  la  ndoa
6. Uoga  wa  kufanya  tendo  la  ndoa.
7.Uzoefu  wa  kukatisha  tamaa  wa  siku  za  nyumaa
8.Chango  la  kiume.
9. Kuugua  ugonjwa  wa  ngiri
10. Mazingira  yasiyoridhisha  wakati  wa  tendo  la  ndoa.
11.  Ulaji  mbovu  wa  vyakula  haswa  haswa  ulaji  wa  vyakula  vya  mafuta  kwa  wingi  kupita  kiasi.
12. Kufanya  masturbation  kwa  muda  mrefu   n.k



ATHARI  ZA  UPUNGUFU / UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME


Ukosefu  ama  upungu  wa  nguvu  za  kiume  una  athari  nyingi  sana, zifuatazo  ni  baadhi  ya  athari  za  ukosefu/ upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

1. Kuvunjika  kwa  mahusiano  ya  kimapenzi.
2. Kuvunjika  kwa  ndoa.
3. Kujiua  :  Baadhi  ya  wanaume  hufikia  uamuzi  wa  kujiua  baada  ya  tatizo  kuwa  kubwa  na kutumia  dawa  za  aina  mbalimbali   bila  mafanikio.
4. Upungufu   wa  nguvu  za  kiume  huongeza  chachu  ya  maambukizi  ya  v.v.u  kwa  wanandoa.Tatizo  la  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  linapokuwa  sugu, hupelekea  rafiki  wa  kike/ mke  wa  mwanaume anaye  sumbuliwa  na  tatizo  la  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, kutoka  nje  ya  ndoa kwa  ajili  ya  kutimiziwa  haja  zake  za  kimwili, mwisho  wa  siku  mwanamke huyo  huweza  kumletea  magonjwa  mume  wake  mwenye  tatizo  la  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  pindi  wanapokutana  kimwili  katika  hali hiyo  hiyo  ya  kutoridhishana
5. Ulevi  kupita  kiasi ; Wakati  mwingine  wanaume  wanao  sumbuliwa  na  tatizo  hili, huamua  kuwa  walevi  kupita  kiasi  ili  angalau  kupunguza  mawazo.
Kwa  ufupi  ukosefu/ upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  tatizo  kubwa  sana  ambalo  endapo  halitatafutiwa  usumbufu  na  muhusika linaweza  kuyaathiri  maisha  ya  muhusika  kwa  kiasi  kikubwa  sana.


SULUHISHO  LA  UPUNGUFU/ UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.


Zipo  dawa  za  asili  za  aina  mbalimbali  ambazo  zimethibitika  kumaliza  kabisa  tatizo  la  ukosefu/ upungufu  wa  nguvu  za  kiume, kwa  leo   tutaelezea  kuhusu vitu  vitatu  ambavyo endapo  vitatumiwa  kwa  pamoja   basi  vinaweza  kumaliza  kabisa  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  na  kukufanya  uwe  fit  kama  dume  la  simba, na  ngangari  kama  livyokuwa  wakati  una  balehe.






.1. KORODANI  ZA  JOGOO WA  KIENYEJI   ALIYEKOMAA



Picha  ya  korodani  za  jogoo wa  kienyeji  aliyekomaa.




Korodani  za  kuku  ni  dawa  nzuri  sana  ya nguvu  za kiume, na  imekuwa  ikitumiwa  na  mababu  zetu  tangu  enzi na enzi, vijana  wa  siku  hizi  hawajui  ukweli  huu  kwa  sababu  wana  kasumba  ya  kudharau  vitu  vya  asili.




MATAYARISHO :

1. Tafuta  JOGOO  WA  KIENYEJI  ALIYEKOMAA  ..Nimeweka  msisitizo  hapo  kwenye  neno  " Jogoo  Wa  Kienyeji  Aliyekomaa  "  kwa  sababu  najua  kuna  watu  wanaweza  kuchukua kuku wa  kizungu, ama  jogoo  ambaye  hajakomaa. Kamwe  usifanye  kosa  hilo  na  usithubutu  kabisa  kutumia  korodani za  kuku  wa  kizungu. Kama  haujui  jogoo  aliyekomaa  ni  yupi, uendapo  kwa  muuzaji  wa  mwambie  akusaidie  kupata  jogoo  aliyekomaa.

2.  Unga  wa  HABBAT  SAWDA  au  Unga  wa  MJAFARI  robo  kilo.
3. Andaa  kisaani  ambacho  utakitumia  kuweka   korodani  zako  baada  ya  kumchinja  kuku.



NAMNA  YA  KUFANYA :

1. Mchinje  jogoo  wako  kisha  mpasue  kwa  ajili  ya  kutoa  korodani  zake. Unapozitoa  korodani za  jogoo  wako  hakikisha  unafanya  bila  korodani  zako  kupaa  damu  ila  kama  ikitokea  bahati  mbaya  korodani  zako  zikigusana  na  damu, unaweza  kuzisafisha  lakini  inashauriwa  zaidi  uzitoe  korodani  zako bila  korodani hizo  kugusana  na  damu. Kuna  namna  ambayo  ukifanya, korodani  haziwezi  kugusana  na  damu  wakati  unazi  toa. ( N.B:  Korodani  za  jogoo  unapozitoa, huwa  kama  mayai  na  haziwi  na  damu  damu  kama  unavyo  weza  kudhania   )


2.   Chukua  unga  wa  HABBAT  SAWDA ( Tamka  HABAT SODA ) au   unga  wa  MJARIFU  kiasi  cha  robo  kiganja  na  kuutia kwenye  kisahani  chako.

3.    Baada  ya  kuzinyofoa  korodani  hizo  za  kuku, ziweke  juu  ya  kisahani  chako ambacho  juu  yake  umeweka  unga  wa  HABBAT  SAWDA  ama  unga  wa MJARIFU  na  kufanya  kama  unazi  biringisha  biringisha  hivi ili  kuzichanganya.

4.  Chukua  korodani  zako  zote  mbili , moja  baada  ya  nyingine  weka  kinywani, meza  na  maji  kama  vile  unavyo  meza  dawa. Hapo  zoezi  lako  litakuwa  limekamilika.
Hautakiwi kumeza  zaidi  ya   korodani mbli, korodani  mbili  tu  zinatosha  sana, ila  kama  utataka  kuwa  na  nguvu  mara  dufu  unaweza  kuwa  unafanya  zoezi  hili  kila  mwezi, mra  moja  kwa  wiki, mara mbili kwa  wiki  ama kila  siku, kwa  kadri  unavyo  jiweza  .Endapo  utafanya zoezi hili  mara  kwa  mara  basi  nguvu  zako  zitakuwa  sio  za kawaida.

KAZI  YA  KORODANI ZA  KUKU :  Zitakufanya  uwe  na  nguvu  za  ajabu na  wala  usichoke  kufanya  tendo  la  ndoa, unaweza  kufanya  tendo  la  ndoa  hata  mara  nne, bila  ya  kuchoka  na  utakuwa  unajisikia  upo  ngangari  muda  wote, sana  sana  labda  ukose  pumzi  ama  uchoke  kiuno, but  nguvu  za  kiume, utakuwa  safi  sana..


2.  SUPU  YA  KORODANI  ZA  MBUZI : Korodani  za  mbuzi  zinapatikana  maeneo kama  vile  machinjioni  n.k  na  zinapztikana  kwa  bei  nafuu  sana. Chukua  korodani  zako  za  mbuzi, zitumie  kutengeneza  supu  kishs  kunywa  supu  yako  pamoja  na  korodani  hizo  za  mbuzi ambazo  zinakuwa  zimekwisha  wiva. Ukifanya  hivi  angalau  mara  moja  kwa  wiki  kwa  muda  wa  mwezi  mmoja, amini  ninacho  kwambia, utakuwa  vizuri  sana.  Kama  hauna  nafasi  au  muda  wa  kutengeneza  supu  unawezan kwenda  katika  maeneo  ambayo  wanatengeneza  supu ama  wanauza  mbuzi  choma  na  kuweka  oda  wakutengenezee  supu  ya  korodani  za  mbuzi. ..Mgahawa  wa wazi  uliopo  katika  eneo  la  Sinza  Afrika, sana  ni  maarufu  kwa  kutengeneza    supu  ya korodani za  mbuzi, unaweza  kutafuta  muda  ukaenda  hapo  kwa  ajili  ya  kujipatia  supu  ya  korodani  za  mbuzi  ambayo  hujulikana  zaidi  kama " ASHUSHI "


3.  DAWA YA  ASILI  IITWAYO  " JIKO " : Dawa  hii  imebatizwa  jina  la  "Jiko "  kutokana  na  uwezo  wake  mkubwa  wa  kuwasaidia  wanaume  kuyalinda  majiko  yao. Ni  dawa   safi  sana na   yenye  nguvu  za  ajabu. Ni  dozi  ya  siku  kumi  na  mbili tu  ambayo  inaanza  kuonyesha  matokeo  baada  ya  wiki  mbili. Dawa  hii  inafanya  mambo  mengi  sana  ikiwa  ni  pamoja  na  kuimarisha  mishipa  ya  uume  uliolegea  ama  uume  ulioingia  ndani, inaongeza  hamu  ya  tendo  la  ndoa  maradufu, inakufanya  uweze  krudia  tendo  mara nne  bila  ya  kuchoka ( labda  uchoke  kiuno au pumzi  ), na  inakupa uwezo  wa  kukaa  juu  ya  kiuno  kwa  muda  mrefu .

Endapo  utatumia  vitu  vyote  vitatu, kama  vilivyo  orodheshwa  hapo  juu, yaani  korodani  za  kuku, supu  ya  korodani  za  mbuzi  pamoja  na  "Jiko" au  "Nguvu Kazi" kwa  jina  lingine. Kuwa  na  uhakika kwamba  tatizo  lako  la  upungufu ama ukosefu  wa  nguvu  za  kiume, litakuwa  limekwisha  kabisa  ndani  ya  mwezi  mmoja  wa  kutumia  dozi  yako.

N.B : Dawa  hii ni  kwa  ajili  ya  watu  waliopungukiwa  ama  kuishiwa  nguvu  za  kiume ambao wamewahi  kuwa  na  nguvu  za  kiume, dawa  hii  haiwezi  kumsaidia  mtu  ambaye  amezaliwa  akiwa  hana  nguvu  za  kiume.( Hanithi ). Zipo  tiba  za  asili  kwa  ajili  ya  watu  hao, tutandika  makala  kuhusu  tiba  hiyo  siku  za  usoni.


Kama  unahitaji  kupata  dawa  ya " Jiko "  wasiliana  nasi  kwa  simu : 0767010756  AU  0766538384
AU  fika  katika  ofisi  zetu  zilizopo  katika  eneo  la  CHANGANYIKENI  karibu  na  Chuo  Cha Takwimu.

Comments

  1. una dawa za kuongeza upana na urefu wa uume naturally??? (saibulazaro@Yahoo.com)

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...