Wanawake wengi nchini na duniani kwa ujumla wanasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ( LACK OF LIBIDO ) pamoja na tatizo la kutofika kileleni. Inasadikiwa kuwa, katika kila wanawake kumi, angalau wanne kati yao wanasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa na kutofika kileleni wakati wa tendo. SABABU ZA WANAWAKE KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA . Sababu zinazo changia tatizo hili zimegawanyika katika makundi makuu mawili : ( A ) Sababu za Kisaikolojia { Psychological ) na ( B ) Sababu za ...