Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2015

IJUE SAYANSI YA MFUMO WA NGUVU ZA KIUME.

Ukosefu   na/ama   upungufu wa   nguvu   za   kiume, ni tatizo linalo   wakabili   mamilioni   ya   wanaume duniani. Tatizo   la   ukosefu/upungufu   wa   nguvu   za   kiume ni   nini   ? Ukosefu   ama   upungufu   wa   nguvu za   kiume   ni   ile   hali   ya   mwanaume   kutokuwa   na   uwezo   wa kufanya   tendo   la   ndoa   kwa   ukamilifu HATUA   MBILI   MUHIMU   KATIKA   KUSIMAMA   KWA   UUME Ili   mwanaume    aweze   kufanya   tendo   la   ndoa   na   andelee   kufanya   tendo   la   ndoa, ni   lazima   uume wake   upitie   hatua   kuu   mbili   kama   ifuatavyo : Hatua   ya   kwanza, ni   lazima   uume   wake   uweze ...

FAHAMU UHUSIANO ULIOPO KATI YA UNENE & UZITO KUPITA KIASI ( OVERWEIGHT & OBESITY ) NA TATIZO LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Unene  na  uzito  uliozidi  ( Obesity )  ni  miongoni  mwa  vyanzo  na  visababishi  vikuu  vya  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume. Kwa   mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitabibu, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wenye   unene  na  uzito  uliozidi, wanakabiliwa  na  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume. KWANINI  WANAUME  WENYE  UNENE  NA  UZITO  ULIOZIDI  WANAKABILIWA  NA  HATARI  KUBWA  YA  KUPATWA  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME. Wanaume  wenye  uzito na  unene  uliozidi  wapo  katika  hatari  kuu  ya  kupatwa...

UHUSIANO KATI YA UGONJWA WA KISUKARI NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.

Ugonjwa   wa   kisukari   ni   miongoni   mwa   vyanzo   vikuu   vya   tatizo   la   ukosefu   na   upungufu   wa   nguvu   za   kiume. Asilimia   kubwa   ya   wagonjwa   wa     kisukari   wanakabiliwa   na   tatizo   la   ukosefu   wa   nguvu   za   kiume. Unajua   ni   kwa   nini   wanaume   wenye   kisukari   wanasumbuliwa   pia   na   tatizo   la   ukosefu   wa   nguvu   za   kiume   ? JIBU   NI   RAHISI   SANA, NALO   NI   KWA   SABABU   KUNA   UHUSIANO   MKUBWA   SANA   KATI   YA   UGONJWA   WA   KISUKARI   NA   TATIZO   LA   UKOSEFU   WA   NGUVU   ZA   KIUME. Kabla   hatuja   fahamu   kuhu...