Ufuta Vidonda vya tumbo ni tatizo linalo watesa, mamilioni ya watu duniani. Hata hivyo, kama wewe ni mhanga wa tatizo la vidonda vya tumbo, unaweza kupona tatizo lako kwa kutumia lishe ( Tiba-Lishe ) Asilia. Asali Tiba lishe asilia ya kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la vidonda vya tumbo, inaandaliwa kama ifuatavyo : MAHITAJI. i. Maziwa fresh nusu lita. ii. Mayai manne ya kuku wa kienyeji iii. Asali mbichi...