Chiwa Seeds zinatajwa kuwa na umuhimu mkubwa sana katika afya ya mwanadamu. Tafiti mbalimbali za kisayansi zinaeleza kuwa Chiwa ni mmea wenye faida nyingi sana katika afya ya mwanadamu. Baadhi ya faida za Chiwa Seeds ni pamoja na : 1. Husaidia kuimarisha afya ya moyo 2. Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu 3. Husaidia kuupa mwili nguvu 4. Husaidia kuimarisha mifupa 5. Husaidia kulainisha ngozi na...