Skip to main content

Posts

Showing posts from 2019

KWANINI BAADHI YA WATU WANA UZITO MDOGO KUPITA KIASI ? ( Kukonda na kudhoofu mwili )

Kuna   idadi   kubwa   ya   watu   ambao wana   kabiliwa   na   tatizo   la kuwa   na   uzito   mdogo kupita   kiasi.   Kwa   mujibu   wa    tafiti   mbalimbali   za   kitaalamu, kuwa   na   uzito   mdogo   kupita   kiasi   ni   jambo   linalo weza   kuhatarisha   afya   ya   mhusika. Kama   ilivyo   kwa   suala   la   kuwa   na   uzito   mkubwa   kupita   kiasi,   suala   la   kuwa   na   uzito   mdogo   kupita   kiasi   pia   lina   madhara   mengi   katika   afya   ya   binadamu. MADHARA    YA KUWA   NA   UZITO   MDOGO   KUPITA   KIASI   (   KUKONDA   NA   KUDHOOFU   MWILI ) Kwa   mujibu   wa ...

UHUSIANO KATI YA PUNYETO NA KUSINYAA KWA MAUMBILE YA KIUME

Zipo sababu kuu 2 kwanini wanaume walio jihusisha na punyeto kwa muda mrefu maumbile yao husinyaa na kuwa kama ya mtoto. SABABU YA KWANZA: Tendo la kujichua linapo fanyika kwa muda mrefu huathiri na kuharibu misuli ya uume na hivyo kusababisha kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ATERI. Kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ateri husababisha mambo makuu mawili. Kwanza huzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka. KUPANUKA NA KUONGEZEKA KWA MISHIPA YA ATERI NI JAMBO MUHIMU SANA KATIKA UKUAJI WA MAUMBILE YA KIUME. Mishipa hii inapo shindwa kupanuka na kuongezeka huathiri ukuaji wa maumbile ya kiume na hivyo kusababisha maumbile ya mhusika kudumaa. Lakini pili, kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika ndani ya mishipa ya ateri huzuia na kuathiri kutiririka kwa damu kwenye misuli ya uume. Mambo haya mawili yanapo tokea huathiri uzalishaji wa homoni zinazo husika na kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume. Homo...