Skip to main content

UHUSIANO KATI YA PUNYETO NA KUSINYAA KWA MAUMBILE YA KIUME


Neema  Herbalist    &  Nutrtional  Foods  Clinic

Zipo sababu kuu 2 kwanini wanaume walio jihusisha na punyeto kwa muda mrefu maumbile yao husinyaa na kuwa kama ya mtoto.

SABABU YA KWANZA: Tendo la kujichua linapo fanyika kwa muda mrefu huathiri na kuharibu misuli ya uume na hivyo kusababisha kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ATERI.


Kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ateri husababisha mambo makuu mawili. Kwanza huzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka.


KUPANUKA NA KUONGEZEKA KWA MISHIPA YA ATERI NI JAMBO MUHIMU SANA KATIKA UKUAJI WA MAUMBILE YA KIUME. Mishipa hii inapo shindwa kupanuka na kuongezeka huathiri ukuaji wa maumbile ya kiume na hivyo kusababisha maumbile ya mhusika kudumaa.


Lakini pili, kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika ndani ya mishipa ya ateri huzuia na kuathiri kutiririka kwa damu kwenye misuli ya uume. Mambo haya mawili yanapo tokea huathiri uzalishaji wa homoni zinazo husika na kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume. Homoni hizi hujulikana kitaalamu kama HGH na huzalishwa kwenye ini.


Hali hii inapo tokea basi maumbile ya kiume ya mhusika husinyaa na kudumaa kiasi cha kuyafanya yaonekane kama ya mtoto mdogo.


SABABU YA PILI: Upigaji wa punyeto huathiri utendaji wa ini. Na katika ini ndimo zinamo zalishwa homoni ziitwazo HGH ambazo hu husika na kufanya kazi ya kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume.

Kinacho fanya ini la mwanaume anae jihusisha na.punyeto lishindwe kuzalisha homoni za HGH ni mwili wa mhusika kukosa kiwango cha kutosha cha nishati kinacho hitajika katika uzalishaji wa homoni hizo. Nishati hii hupotea kwa wingi wakati wa tendo la upigaji punyeto.


Mwanaume anae piga punyeto hutumia nguvu, akili na nishati nyingi sana . Nishati hii ambayo inahitajika mwilini ili itumike katika kazi mbalimbali ikiwemo uzalishaji wa homoni za HGH kwenye ini inatumika kwenye tendo la upigaji punyeto na hivyo kupotea bure.

Kibaya zaidi ni kwamba waathirika wengi wa punyeto huanza kujihusisha na punyeto wakati wa balehe. Na ni katika kipindi hiki hiki cha balehe ndio kipindi ambacho homoni za HGH huzalishwa kwa wingi na huhitajika kwa wingi mwilini katika kufanya kazi ya kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume.

Matokeo yake ini linashindwa kufanya kazi ya kuzalisha homoni hizo kwa sababu ya kukosa kiwango cha nishati kinacho hitajika ili kuweza kuzalishwa kwa homoni hizo.

Kukosekana kwa homoni hizo hupelekea maumbile ya kiume ya mhusika kushindwa kuongezeka ambako huenda sambamba na kusinyaa, kulegea na kunywea ndani kiasi cha kuyafanya yaonekane kama ya mtoto.


NINI SULUHISHO LA MAUMBILE YA KIUME YALIYO ATHIRIKA KWA PUNYETO: 

Mwanaume ambae maumbile yake ya kiume yame athiriwa na upigaji punyeto wa muda mrefu anatakiwa apate tiba maalumu ya asili ambayo INATIBU na KUPONYESHA kabisa tatizo la maumbile ya kiume ambayo yameathirika kwa punyeto. Tiba hii ya asili mbali na kufanya kazi ya KUREFUSHA na KUNENEPESHA maumbile ya kiume ambayo yamesinyaa kwa ajili ya punyeto lakini pia INATIBU na KUPONYESHA kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume linalo tokana na kufanya punyeto kwa muda mrefu.

JINSI  YA  KUPATA  DAWA  HII

Kupata  dawa  hii  fika  katika  duka  la  kuuza  dawa  za  asili  la  NEEMA  HERBALIST. Tunapatikana  UBUNGO  jijini  DAR  ES  SALAAM jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.

kwa  wateja  wetu  waliopo  jijini  DAR  ES  SALAAM  ambao  hawana nafasi  ya  kufika  dukani  kwetu  tunayo  huduma  ya  kuwapelekea dawa  mahali  walipo  (  HOME  &  OFFICE  DELIVERY)  na  kwa  wateja  wetu  waliopo  nje  ya  mkoa  wa  Dar Es  Salaam, tunatumia  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  mbalimbali.

WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA : 0693 005 189.


..................................................................................................................................

                                                DAWA  NYINGINEZO  TULIZO  NAZO.

Mbali  na  dawa  inayo  TIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  UUME  ulio  athirika  na  PUNYETO., Neema  Herbalist  ni  duka  linalo  jihusisha na  uuzaji  wa  nyinginezo  za  asili. Baadhi  ya  dawa  nyingine  tulizo  nazo  ni  kama  ifuatavyo  : 

1.     Dawa  asilia  inayo  TIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  ukosefu na  upungufu  wa  NGUVU ZA  KIUME  Kwa  wanaume  wenye  tatizo  la  sukari  ya  kupanda.

2.     Dawa  ya  asili  inayo  SHUSHA  sukari  ya  kupanda  ndani  ya  siku  kumi  na  nne.  Dawa  hii  mbali  na  kushusha  sukari  ya  kupanda, lakini  pia  inasaidia  KUDHIBITI  kiwango  cha  sukari  kwenye damu.

3.     Dawa  -  Lishe  ya   asili  ambayo  inasaidia  KUNENEPESHA  na  KUONGEZA  mwili  wa  mtu  alie  KONDA na  KUDHOOFIKA  kutokana  na  sababu  mbalimbali  kama  vile  kuugua  maradhi  mbalimbali  kama  vile  vidonda  vya  tumbo, sukari  nakadhalika . Dawa hii  pia  inawasaidia sana watu  walio  konda  na kudhoofika  kutokana  na   msongo  wa  mawazo.

4.     Dawa  ya  asili  inayo  punguza  UNENE  na  UZITO.  Dawa hii  ya  asili  mbali  na  kupunguza  unene  na  uzito  lakini  pia  ina  ondoa  sumu   pamoja  na  mafuta  yasiyo hitajilka  mwilini  (   Lehemu/ Kolestrol mbaya ). Kama  una  uzito mkubwa  ambao  hauendani  na  urefu  wako.  Kama  wewe  ni  mnene  kupita  kiasi  basi  dawa  hii  ni  sahihi  kabisa  kwako, kwa  sababu  inapunguza  uzito  na  unene  kwa  ufanisi  mkubwa  sana.   Kama  umehangaika  kupambana  kupunguza  uzito  au  unene  kwa  muda  mrefu  bila mafanikio  ya  kuridhisha  basi tiba  hii  itakusaidia  sana.  Ukiwa  mnene  kupita  kiasi, ukiwa  na  uzito  mkubwa  kuliko  kiasi na  ukiwa  na  mafuta  mengi  mwilini, unatakiwa  kupambana  kuondokana  na hali hiyo   kwa  sababu  hizo  ni  dalili  na  ishara  kwamba  huenda  ukashambuliwa  na  magonjwa hatarishi  kama  vile  kisukari, presha  na  shinikizo  la damu.

5.     Dawa  asilia inayo  TIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  CHANGO LA  KIKE

6.     Dawa  ya  asili  inayo  TIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  CHANGO  LA  KIUME  kwa  watoto wadogo  na  watu  wazima  pia.

7.     Dawa  asilia  inayo  TIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  Mzio ( Aleji )  ya  ngozi.  Kama  una  tatizo    la  kutokwa  na uwasho  kwenye  mwili.  Umetokwa na  mapele  kwenye  ngozi  kwa  kujikuna. Umejaribu  tiba  mbalimbali  bila  mafanikio  basi  dawa  hii  ni  sahihi  kabisa  kwako  kwa  sababu  inatibu  na  kumaliza  kabisa  tatizo la  aleji  kwenye  ngozi.

8.     Dawa  ya asili  inayo  ONDOA  KIRIBA  TUMBO  ( KITAMBI ). Kama una  kitambi  na  umejaribu  tiba  mbalimbali  bila  mafanikio  basi  tunayo  dawa  ya  asili  ambayo  inaondosha  kabisa  tatizo  la  kitambi  ndani  ya  siku  kumi  na  nne.

9.     Dawa  ya a sili  inayo  TIBU na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  kutokwa  na  harufu  mbaya  ya  kinywa . Tatizo  hili  ni  moja kati  ya  matatizo  ya kiafya  yenye  kufedhehesha  sana. Mtu  akipatwa  na  tatizo  hili  hushindwa  kujiamini  na  kufanya  mambo  yake  kwa  ufanisi. Kama  umehangaika  na  tatizo  hili  kwa  muda  mrefu  bila  mafanikio  basi tunayo  tiba  ya  asili  ambayo  itatibu  na  kumaliza  kabisa  tatizo  lako.  Dawa  hii  ya  asili  ina tibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  kutokwa  na  harufu  mbaya  mwilini  iwe  tatizo  hilo  limeanzia  mdomoni  au  limeanzia  tumboni.  Mhusika  atapatiwa  dawa za  aina  mbili  ambazo  atatakiwa  kuzitumia  kwa  wakati  mmoja.,  Dawa  moja  atatumia  kupigia  mswaki  na  dawa  nyingine  atatumia  kunywa.   Dawa  hii  mbali  na  kuondoa  na  kumaliza  tatizo  la  kutokwa  na  harufu  mbaya  mdomoni  lakini  pia  inasaidia  kusafisha  meno  na  kuyafanya  kuwa  meupe.

10. Tatizo  la  kutokwa  na  harufu  mbaya  ya  jasho  (  KUTOA  HARUFU  MBAYA  YA  MWILI )

11. Dawa asilia  inayo  tibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  KIKOHOZI  SUGU  na  KIFUA.

12. Dawa  asili  inayo  tibu meno  bila bila  kung’oa.

13. Dawa ya asili inayo TIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  KUTOKWA  NA KINYAMA  SEHEMU  YA  HAJA  KUBWA .  Ugonjwa  wenye  kuwatesa  sana  watu  unajulikana kwa  majina  tofauti  tofauti.  Wengine  wana  uita  BAWAZIRI, wengine  wana  uita  MGOLO  na  wengine  wanauita  MAN’GONDI.    Ugonjwa  huu  huwa  una  tabia  mbaya  sana, mgonjwa  asipo  pata  tiba  sahihi  basi  ugonjwa  unakuwa  unajirudia  rudia. Yani  mgonjwa  anaweza  kutumia  dawa  leo  akapona  halafu  baada  ya  miezi  kadhaa  ugonjwa  unarudi  pale  pale , mgonjwa  anaanza  upya  tena.  Kama  una sumbuliwa  na  ugonjwa  huu na  umejaribu  tiba  mbalimbali  bila  mafanikio, au  unatumia  dawa   ugonjwa  unatulia  halafu  baadae  unarudi  tena, basi  nakufahamisha  kuwa  tunayo  dawa nzuri  sana  ya asili  ambayo INATIBU  na  KUUMALIZA  kabisa  ugonjwa  huu.

14. Dawa ya  kutibu  tatizo  sugu  la  kutokwa  na  harufu  mbaya  kwenye  makwapa.

15. Dawa  ya asili  ya  kutibu  tatizo  sugu  la  vidonda  vya  tumbo. Kwa  wewe  ambae  umeteswa  na tatizo  la  vidonda  vya  tumbo  kwa  muda  mrefu. Kwa  wewe  ambae  umejaribu  tiba mbalimbali  lakini  bila  mafanikio.  Umekuwa  ukitumia  tiba  vidonda  vinatulia  kwa  muda  mfupi  halafu  baadae  vinarudi  na  tatizo  linaanza  upya.  Tunayo dawa  ya  asili  ambayo  INATIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  vidonda  vya  tumbo. Tiba  hii  ya  asili  inaponyesha  vidonda vya  tumbo  moja  kwa  moja.


16. Dawa  ya asili  inayo tibu  tatizo  la  kifafa.

17. Dawa  ya  asili  ambayo  INATIBU  na  KUPONYESHA  kabsa  tatizo la  kuchoropoka  kwa  ujauzito. Kama  kila  ukibeba ujauzito, ujauzito  huo  unachoropoka na umejaribu  kutumia  tiba  mbalimbali  bila mafanikio  yoyote  basi  tunakufahamisha  kuwa  tunayo  dawa  nzuri  ya  asili  ambayo  INATIBU  na  KUMALIZA  kabisa  tatizo  la  mimba  kuchoropoka.

18. Dawa  ya  asili  inayo  TIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  KUTOBEBA  UJAUZITO  ama  UGUMBA.  Dawa hii  ya  asili  inawasaidia  wanawake  ambao  hawajawahi  kubeba  ujauzito  kabisa  lakini  pia  inawasaidia  na  wanawake  ambao  waliwahi  kubeba  ujauzito  zamani  lakini  sasa  hivi  wanashindwa kubeba ujauzito.  Huwa  inatokea  kwa  baadhi  ya  wanawake.  Unakuta  aliwahi  kubeba  ujauzito  na  kujifungua kabisa tuseme  mwaka  2005.  Lakini  baada  ya  hapo  hajafanikiwa  tena  kubeba  ujauzito mwingine  licha  ya  kuwa  na  hitaji  la  kubeba  ujauzito.  Basi  tunayo habari  njema kwako. Kwani  ipo  dawa  ambayo  itakusaidia  kubeba  ujauzito.

19. Dawa ya  asili  inayo  TIBU  na  KUPONYESHA  KABISA  tatizo  la  PUMU.  Kama  unasumbuliwa  na  tatizo  la  pumu, na  umejaribu  kutumia  dawa  mbalimbali  kwa  muda  mrefu  bila  mafanikio  yoyote  basi  ipo  dawa  nzuri sana  ya  asili  ambayo  INATIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  PUMU  kwa  watu  wazima  na  kwa  watoto  pia.

20. Dawa  ya asili  inayo  tibu  tatizo  la  MAWE   kwenye  FIGO.

21. Dawa  ya asili  inayo  TIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  MIGUU  KUWAKA  MOTO.

22. Dawa  ya asili  inayo tibu  tatizo  la  kutokwa  na  hedhi  mfululizo .  ( Hedhi isiyo  koma )

23. Dawa ya asili  inayo  tibu  tatizo  la  uvimbe  wa  tumboni  kwa  wanawake  ( FIBROID ).  Ugonjwa  huu  huwa  una  tabia  ya  kuisha  na  kujirudia. Yani  mwanamke  mwenye  tatizo  hili  anaweza  kutumia  dawa, uvimbe  ukaisha  wote  kabisa  halafu  baada  ya  mdua  Fulani  uvimbe  unajirudia na  hivyo  mhusika  kuanza  tiba  upya.  Kwa  wewe  mwenye  kusumbuliwa  na  tatizo  hili, tunapenda  kukufahamisha  kuwa, tunayo  dawa  nzuri  ya asili  ambayo INATIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  UVIMBE  wa  TUMBONI  au  UVIMBE  WA  KWENYE  KIZAZI  kwa  wanawake.

24. Dawa  ya  asili  inayo  tibu  tatizo  la  fangasi  za  ukeni

25. Dawa  ya asili  inayo  tibu  tatizo  la  fangasi  za  miguuni.

26. Dawa  ya asili  inayo  tibu  tatizo  la  chunusi  za  usoni  za  kung’arisha  ngozi  ya  usoni. Wengi  wamezoea   kutumia  dawa  za  kupaka  usoni.  Dozi  hii  ipo  tofauti  na  dawa  ambazo  umewahi  kuzitumia  kwa  sababu  hii  unatumia  KUNYWA  na  KUPAKA.  Ni  dawa  ya asili  ambayo  mbali  na  kuondoa  chunusi  sugu  na  madoa  doa   kwenye  uso  wako  na  ngozi  yako, itailainisha  ngozi  yako na   kuifanya  ing’are  kama  ya  mtoto.  


27. Dawa  asilia  ya  kutibu  tatizo  la  nywele  zinazo  katika  katika  kwa  wanawake . Dawa  hii  mbali  na  kuondoa  tatizo  la  nywele  kukatika  katika.  Husaidia  pia  kurefusha (kujaza  ) nywele  na  kuzifanya zenye  afya.  Ni  dawa  ya  asili  kabisa  ambayo  inatumika kwa  kunywa  na  kupaka.  Mtumiaji  atatumia  dawa  zote mbili , moja  atatumia  kunywa  na  nyingine  atatumia  kupaka.

28. Dawa  ya  asili  inayo tibu  tatizo  la  PRESHA .

29. Dawa  ya asili  inayo  TIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  MDOMO  KWENDA  UPANDE  NA KIHARUSI . Kama una  tatizo  la  mdomo  kwenda  upande  na  umejaribu tiba  mbalimbali  basi tunayo  dawa  nzuri ya  asili  ambayo  INATIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  MDOMO  KWENDA  UPANDE NA  KIHARUSI.


30. Dawa  ya asili  inayo  tibu  tatizo  la  KUKOJOA  BILA  KUKUSUDIA  ( Kujikojolea ). Kama umesumbuliwa  na  tatizo  la  kukojoa  bila  kukusudia  (  kujikojolea )  kwa  muda  mrefu  na  kujaribu  tiba  mbalimbali  bila  mafanikio  yoyote  basi  tunayo  tiba  ya  asili ambayo  inatibu  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  kujikojolea.  Tiba  hii  inawatibu  wote  watoto wadogo  pamoja  na  watu  wazima  na  inatibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  hili  ndani  ya  siku  kumi na  nne.

31. Dawa  ya asili inayo  tibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  low  sperm counts  kwa  wanaume.

32. Dawa ya asili inayo  TIBU  na  KUPONYESHA  kabisa tatizo  la  kukosa  hamu  ya  tendo  la  ndoa  kwa  wanawake.

33. Dawa  ya asili  inayo  tibu tatizo  la  vidonda  ndugu (  Vidonda  visivyo pona )  bila  kusahau  dawa  ya  asili  ambayo  INATIBU  na  KUPONYESHA  kabisa  tatizo  la  UKOSEFU  na  UPUNGUFU  wa  KUMBUKUMBU  kwa  watu  wa  rika zote.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...