HII NDIO SABABU KWANINI KAMA HAUNA KIPIMO CHA KUPIMIA SUKARI ( BLOOD TEST KIT ) BASI UNASHAURIWA USITUMIE BAADHI YA DAWA Z A ASILI ZINAZO TIBU TATIZO LA SUKARI YA KUPANDA.
Tango Chungu au Kalera ni moja kati ya mimea yenye uwezo wa kutibu sukari ya kupanda. Mmea huu upo katika kundi la mimea inayo tibu sukari ya kupanda kwa muda mrefu. Mmea huu huweza kushusha sukari ya kupanda ndani ya mwezi mmoja hadi miezi mitatu kulingana na kiwango cha sukari kwenye damu ya mhusika. Matumizi yake kunywa glasi mbili za juisi ya kalera asubuhi na glasi moja na usiku tumia glasi moja. Fanya hivyo kwa muda wa wiki moja kisha nenda kapime sukari yako. Kupata glasi moja ya juisi ya kalera unatakiwa uwe na kalera mbili. Na unashauria utumie "Juicer" na sio " Blender " Ukitumia Juicer unapata pure juice tofauti na ukitumia blender. |
Sukari ( Ya Kupanda
) ni
tatizo linalo wasumbua na
kuwatesa mamilioni ya
watu duniani.
Habari
njema ni kwamba
zipo dawa
mbalimbali za asili
ambazo zina uwezo
mzuri tu wa kushusha sukari
iliyo panda sambamba na
kudhibiti kiwango cha
sukari kwenye damu
kwa ufanisi mkubwa.
Kati ya dawa
hizo zipo zinazo
shusha sukari taratibu
na zipo zinazo
shusha sukari kwa
haraka sana.
Mada yangu
ya leo inahusu
dawa za asili
ambazo zinashusha sukari
kwa haraka sana
na tahadhari ya
kuchukua kwa mtu
anae taka kutumia
dawa hizo.
Mtu mwenye
tatizo la sukari
ya kupanda anapokuwa
anatumia dawa za
asili kwa ajili ya kutibu tatizo
lake anatakiwa kujua
aina ya dawa
anazo tumia.
Anatakiwa kujua
kama dawa anayo
tumia inashusha sukari
kwa taratibu au inashusha kwa
haraka.
Kwa dawa za
asili zinazo shusha
sukari kwa taratibu
mhusika anaweza kuwa
anatumia dawa usiku
na mchana na
kwenda kupima sukari
kila baada ya
wiki ili kujua
sukari yake imepungua kwa
kiasi gani.
Hizi hazina
risk sana kwa sababu
zinashusha sukari kwa taratibu. Mhusika kulingana
na kiwango cha
sukari alicho nacho
anaweza kutumia dawa
zilizopo katika kundi
hili kwa muda wa
kuanzia mwezi mmoja
hadi miezi mitatu
kulingana na dawa
husika.
Lakini kwa dawa
zinazo shusha sukari
kwa haraka, mhusika
anatakiwa kuwa karibu sana na
kipimo cha sukari
( Blood Sugar Test Kit )
Hii ni kwa
sababu mhusika anatakiwa
kuwa anapima sukari
yake kila siku.
Yani akitumia dawa usiku
basi asubuhi atatakiwa
kupima sukari yake
ili kujua imeshuka
kwa kiwango gani
na akitumia asubuhi
anatakiwa kupima tena
usiku ili kujua
sukari imeshuka kwa
kiwango gani.
Kwa sababu asipo
fanya hivyo sukari
inaweza kushuka sana ( below
normal ) jambo linalo weza kumsababishia
madhara makubwa kwa sababu
sukari below normal
ni hatari sana
kwa mhusika.
Asubuhi kabla
haujala chakula sukari
inatakiwa kuwa 4
na baada ya
kula chakula inatakiwa
isizidi 7. Sasa
akitumia dawa zikashusha
sana sukari yake
ni risk kubwa sana
kwake kwa sababu
sukari ikiwa chini ni
hatari sana.
Lakini
akiwa na kipimo
cha sukari ni rahisi
kwake kujua sukari imefikia
kiwango gani jambo ambalo
litamuepusha na kuendelea
kutumia dawa ya
kushusha sukari wakati
sukari yake tayari
imekuwa normal.
Ndio maana tunasema
mtu anae tumia dawa za
asili kwa ajili
ya kushusha sukari
anatakiwa ajue dawa
anazo tumia zipo
kwenye kundi gani.
Je ni
zile zinazo shusha taratibu au zile
zinazo shusha kwa
haraka sana ?
Kama anatumia
dawa zinazo shusha
kwa haraka sana
basi anatakiwa kuwa na
kifaa cha kupima
sukari ( Blood Sugar Test Kit )
ili awe anapima sukari
kila siku kujua
sukari yake imeshuka
kwa kiwango gani .
Na kama hana
au hawezi kupata
kipimo cha sukari
basi anatakiwa kuwa
anaenda clinic kila
siku kwa ajili
ya kupima sukari
yake kujua imefikia
ngapi .
Kwa
ushauri na kujua
aina ya dawa
za asili za
sukari ambazo zinashusha
sukari kwa haraka
pamoja na zile
ambazo zinashusha sukari
kwa taratibu, wasiliana na
duka la kuuza
dawa za asili
la NEEMA HERBALIST.
Tunapatikana UBUNGO jijini DAR
ES SALAAM kwa
namba 0693 005 189.
Tutembelee
kwenye tovuti yetu : www.neemaherbalist.blogspot.com
Comments
Post a Comment