Haya ni matunda yanayo patikana kwa wingi huko nchini Kongo. Ni matunda yenye faida nyingi sana katika afya ya mwanadamu. Moja kati ya faida ya matunda haya ni pamoja na kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu, kupunguza lehemu na kuondoa sumu mwilini