
Haya ni matunda
yanayo patikana kwa wingi
huko nchini Kongo. Ni matunda yenye
faida nyingi sana
katika afya ya
mwanadamu. Moja kati ya
faida ya matunda haya
ni pamoja na
kurekebisha kiwango cha
sukari kwenye damu, kupunguza lehemu na
kuondoa sumu mwilini



Comments
Post a Comment