Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2019

UHUSIANO KATI YA PUNYETO NA KUSINYAA KWA MAUMBILE YA KIUME

Zipo sababu kuu 2 kwanini wanaume walio jihusisha na punyeto kwa muda mrefu maumbile yao husinyaa na kuwa kama ya mtoto. SABABU YA KWANZA: Tendo la kujichua linapo fanyika kwa muda mrefu huathiri na kuharibu misuli ya uume na hivyo kusababisha kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ATERI. Kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ateri husababisha mambo makuu mawili. Kwanza huzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka. KUPANUKA NA KUONGEZEKA KWA MISHIPA YA ATERI NI JAMBO MUHIMU SANA KATIKA UKUAJI WA MAUMBILE YA KIUME. Mishipa hii inapo shindwa kupanuka na kuongezeka huathiri ukuaji wa maumbile ya kiume na hivyo kusababisha maumbile ya mhusika kudumaa. Lakini pili, kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika ndani ya mishipa ya ateri huzuia na kuathiri kutiririka kwa damu kwenye misuli ya uume. Mambo haya mawili yanapo tokea huathiri uzalishaji wa homoni zinazo husika na kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume. Homo...

HII NDIO SABABU KWANINI KAMA HAUNA KIPIMO CHA KUPIMIA SUKARI ( BLOOD TEST KIT ) BASI UNASHAURIWA USITUMIE BAADHI YA DAWA Z A ASILI ZINAZO TIBU TATIZO LA SUKARI YA KUPANDA.

Tango  Chungu  au  Kalera  ni  moja  kati  ya  mimea yenye  uwezo  wa  kutibu sukari  ya  kupanda. Mmea  huu  upo  katika  kundi  la  mimea  inayo  tibu  sukari ya  kupanda  kwa  muda  mrefu.   Mmea  huu  huweza  kushusha  sukari  ya  kupanda   ndani  ya  mwezi  mmoja  hadi  miezi  mitatu  kulingana  na kiwango  cha  sukari  kwenye  damu  ya mhusika.  Matumizi  yake  kunywa  glasi mbili  za  juisi  ya  kalera  asubuhi  na  glasi  moja  na  usiku  tumia  glasi moja. Fanya hivyo  kwa  muda  wa  wiki moja  kisha  nenda  kapime  sukari  yako. Kupata  glasi  moja  ya  juisi  ya  kalera  unata...

UHUSIANO KATI YA PUNYETO NA KUSINYAA KWA MAUMBILE YA KIUME

UHUSIANO KATI YA PUNYETO NA KUSINYAA KWA MAUMBILE YA KIUME Zipo sababu kuu 2 kwanini wanaume walio jihusisha na punyeto kwa muda mrefu maumbile yao husinyaa na kuwa kama ya mtoto. SABABU YA KWANZA: Tendo la kujichua linapo fanyika kwa muda mrefu huathiri na kuharibu misuli ya uume na hivyo kusababisha kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ATERI. Kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ateri husababisha mambo makuu mawili. Kwanza huzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka. KUPANUKA NA KUONGEZEKA KWA MISHIPA YA ATERI NI JAMBO MUHIMU SANA KATIKA UKUAJI WA MAUMBILE YA KIUME. Mishipa hii inapo shindwa kupanuka na kuongezeka huathiri ukuaji wa maumbile ya kiume na hivyo kusababisha maumbile ya mhusika kudumaa. Lakini pili, kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika ndani ya mishipa ya ateri huzuia na kuathiri kutiririka kwa damu kwenye misuli ya uume. Mambo haya mawili yanapo tokea huathiri uzalishaji wa homoni zinazo hu...