MFAHAMISHE NDUGU,JAMAA AU RAFIKI YAKO MWENYE TATIZO LA SUKARI YA KUPANDA Kwamba tatizo la SUKARI YA KUPANDA lisipo TIBIWA na KUDHIBITIWA mapema linaweza kumuweka mgonjwa katika hatari ya kupatwa na magonjwa tishio kwa maisha kama vile presha ya kupanda, matatizo kwenye figo, kiharusi (stroke) na magonjwa mengineyo ya moyo . Kwa hivyo basi kama amepima na kugundulika kwamba ana tatizo la SUKARI YA KUPADA basi mhusika anashauri...