Skip to main content

IMARISHA AFYA YA UBONGO YA MTOTO WAKO KWA KUTUMIA MMEA WA CHIWA SEED


IMARISHA  AFYA  YA  UBONGO  YA  MTOTO  WAKO  KWA  KUTUMIA  MMEA  WA  CHIWA  SEED



Chiwa seed  ni  mmea  ulio fanyiwa  tafiti  nyingi  za  kisayansi  na  kuthibitika  kuwa na  umuhimu  mkubwa  sana  katika  afya  ya  mwanadamu. Mbegu  hizi  zinatajwa  kuwa  na  msaada  mkubwa  sana  kwa  watu  wenye  kusumbuliwa  na  magonjwa  &  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya.

Chia  Seed  zikiwa  shambani. Photo  Credit to JF

Moja  kati  ya  faida  muhimu  za  mbegu  za  Chiwa  Seed  ni  kutumika  katika  kuimarisha  afya  ya  ubongo  wa  watoto.
Tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu  zinaeleza  kuwa, Chia  Seeds  zina  kiwango  kikubwa  cha  Omega 3 na  Omega  6  Fatty  Acids  ambazo  ni  muhimu  sana  katika  kusaidia  Ubongo  kutengeneza  seli  zake . Virutubisho  hivi  vinatajwa  kuwa  muhimu  sana  kwa  watoto  na  Chia  unatajwa  kama  mmea  pekee wenye virutubisho  hivyo.
JINSI  YA  KUTUMIA  CHIA   SEED  KWA  WATOTO
i.                Unaweza  kusaga  mbegu  hizi  pamoja  na  unga  mwingine  wa  lishe  ya  kutengenezea  uji  kwa  ajili  ya  mtoto  wako  AU
ii.              Unaweza   kumchanganyia mtoto  kwenye  uji, juisi  au  maziwa.

JINSI  YA  KUZIPATA  CHIWA  SEED
Kupata  Chiwa  Seed  fika  katika  duka  la  kuuza  dawa  la  Neema  Herbalist. Tunapatikana  UBUNGO  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA  jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING.
Kwa  mteja  asie  weza  kufika  ofisini  tunayo  huduma  ya  kuwapelekea  dawa  mahali  walipo  na  kwa  wateja  waliopo  nje  ya  Dar  Es  Salaam  tunawasafirishia  dawa  kwa  mabus  mbalimbali  au  boti  kwa  wateja  waliopo  Zanzibar.

WASILIANA  NASI  KWA  SIMU  NAMBA  0766  53  83  84  AU 0693 005 189

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA